Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INTRODUCING KNOWLEDGE ZA KITAA BY JCB FT. NIKKI WA II, MO PLUS, JOES

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Nikki Mbishi amjibu Nikki wa Pili

Jana kwenye ukurasa wa Instagrama wa @Cloudsfmtz waliposti mambo ambayo Nikki wa Pili aliyaandika ili kuwapa husia wasanii wanao kuja kuwa na style yao tofauti katika muziki huu wa Hip Hop pia alielezea ni kwa jinsi gani wasanii wa HipHop wa zamani ambavyo wamekuwa hawafanyi vizuri na mambo mengi alizungumzia kuhusiana na muziki wa Hip Hop Sasa baada ya Cloudsfm kupost Nikki Mbishi akaona na akibidi amjibu Nikki Wa Pili kwa kumwambia Kama wewe unafanya na uko happy nacho then fanya ila...

 

9 years ago

Bongo5

Music: JCB Ft. Dwee — Sikia

JDB Ft. DweeRapper JCB ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Sikia” aliyorekodi nchini Ufaransa huku akimshirikisha Dwee. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: JCB Ft. Hisia — Mtoto Mkali

Hii ni ngoma mpya ya rapper JCB Kutoka watengwa recs Kijenge Juu akimshirikisha Hisia wimbo unaitwa “Mtoto Mkali” kutoka kwenye albam yake mpya Producer Daz Naledge Mixed & Mastered by Defxtro | Noizmekah Production Studios

 

9 years ago

Bongo5

JCB kuvunja ukimya na ‘Turu Juu Ya Ngeu’

Mwana Hip Hop kutoka Watengwa, JCB anatarajia kuachia wimbo wake mpya kutoka kwenye album yake, ‘Turu Juu Ya Ngeu’ iliyotenezwa nchini Ufaransa. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, JCB alisema wimbo utakaotoka pamoja na video amemshirikisha rapper wa Watengwa Dishwaa. “Watengwa Records tuna rudi upya katika television yako na kwenye redio […]

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

KITAA WEAR (DUKANI)


 Kama umependa KITAA wear Niibox ili nijue vitu vifuatavyo
1. Namba ya Simu 2. Wapi Ulipo, kama upo Dar utaletewa ulipo ukiishalipia      mkoani tutatuma kwa njia ambayo kwako ni rahisi kukufikia 3. Aina ya T-Shirt , kwenye advert nimeweka number chagua number ya tshirt uliyoipenda 4. Size 5.Price 20,000/=
Payments through Mpesa 0754310202 NB: Ukinunua kuanzia T-Shirt 5 bei ni 18,000/= T-Shs Pia gharama za kutuma mzigo mkoani ni za mteja Dar es salaam napatikana jengo la science na...

 

9 years ago

AllAfrica.Com

Mwanza Dominate Bball Kitaa


Mwanza Dominate Bball Kitaa
AllAfrica.com
Mwanza — MWANZA-BASED Bwiru clobbered Arusha's Njiro 35-33 in the Bball Kitaa tournament over the weekend. Nyakato also thrashed Mbeya's Iyunga 41-28. Nyakato captain Amon Semberya said the tournament is good and tough but their target is to ...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumekucha ‘Basketball Kitaa’ leo

>Mashindano ya mchezo wa mpira wa kikapu maarufu kama ‘Basketball Kitaa Chini ya Mataa’ yataendelea leo kwa kuzikutanisha timu ya Next Level dhidi ya A-Talk of Karabani ambapo mshindi ataondoka na Sh2 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani