Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: JCB Ft. Hisia — Mtoto Mkali

Hii ni ngoma mpya ya rapper JCB Kutoka watengwa recs Kijenge Juu akimshirikisha Hisia wimbo unaitwa “Mtoto Mkali” kutoka kwenye albam yake mpya Producer Daz Naledge Mixed & Mastered by Defxtro | Noizmekah Production Studios

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: JCB Ft. Dwee — Sikia

JDB Ft. DweeRapper JCB ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Sikia” aliyorekodi nchini Ufaransa huku akimshirikisha Dwee. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 15: Mtoto anaanza kupata hisia

KATIKA wiki ya 15, mtoto anakuwa amefikia urefu wa inchi nne. Hivi sasa, majimaji yaliyopo tumboni yanaweza kuanza kupenya kwenye pua zake na kuingia kwenye sehemu ya juu ya njia...

 

10 years ago

Mwananchi

Maziko ya mtoto albino kufanyika chini ya ulinzi mkali

>Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1), aliyetekwa juzi katika Kijiji cha Ilelema, wilayani Chato mkoani Geita na kuokotwa katika Hifadhi ya Biharamulo akiwa amekufa bila mikono wala miguu, atazikwa leo saa 5 asubuhi katika Kijiji cha Ibondo, mkoani Geita chini ya ulinzi mkali wa polisi.

 

9 years ago

Bongo5

JCB kuvunja ukimya na ‘Turu Juu Ya Ngeu’

Mwana Hip Hop kutoka Watengwa, JCB anatarajia kuachia wimbo wake mpya kutoka kwenye album yake, ‘Turu Juu Ya Ngeu’ iliyotenezwa nchini Ufaransa. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio, JCB alisema wimbo utakaotoka pamoja na video amemshirikisha rapper wa Watengwa Dishwaa. “Watengwa Records tuna rudi upya katika television yako na kwenye redio […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Zachaa ft Diamond Platnumz & Godzilla – Mtoto wa Mama

Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Producer Zachaa wa MJ Records, iitwayo ‘Mtoto wa Mama’ humu akiwa amewashirikisha Godzilla na Diamond Platnumz ambaye amerap. Sikiliza halafu toa maoni yako.

 

9 years ago

Bongo5

Music: Chibau Mtoto Wa Pwani Ft Nay Wamitego & Soprano – Mademu

Chibabu

Wimbo Mpya wa msanii Chibau Mtoto Wa Pwani unaitwa “Mademu” amewashirikisha Nay Wamitego na Soprano Studio: Free Nation/ Mr T.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani