UJAUZITO WIKI YA 15: Mtoto anaanza kupata hisia
KATIKA wiki ya 15, mtoto anakuwa amefikia urefu wa inchi nne. Hivi sasa, majimaji yaliyopo tumboni yanaweza kuanza kupenya kwenye pua zake na kuingia kwenye sehemu ya juu ya njia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
UJAUZITO WIKI YA TISA: Mtoto anaanza kukua kwa kasi
INAPOINGIA wiki hii, mtoto anakuwa amekua na kufikia urefu wa kama inchi moja hivi. Anakuwa ameshazidi ukubwa wa haragwe ambao alikuwa nao wiki iliyopita. Wakati huu anakuwa ameshaanza kuonyesha viungo...
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
UJAUZITO WIKI YA 18: Kuchagua jina la mtoto — 2
KAMA tulivyoona katika makala zilizotangulia, watu huchagua jina la mtoto kwa kufuata vigezo tofauti tofauti, lakini kwa makabila mengi nchini, moja ya jambo ambalo linatumiwa na watu wengi wakati wanapochagua...
11 years ago
Tanzania Daima18 Oct
UJAUZITO WIKI YA 14: Unaweza kujua jinsi ya mtoto
KAMA ungekuwa na uwezo wa kumuona mtoto wakati ujauzito unapoingia wiki ya 14, ungeweza kumuona akianza kufanya ishara usoni kama vile kuminya macho, kutabasamu, kunyonya kidole na hata kukojoa. Hii...
11 years ago
Tanzania Daima04 Oct
UJAUZITO WIKI YA 13: Anza kupanga bajeti ya mtoto
KATIKA makala iliyopita tuliona kuwa wiki ya 12 ya ujauzito ni muhimu sana kwa sababu ndicho kipindi ambacho mama ataanza kuhisi mitikisiko ya mtoto aliye tumboni. Wakati huu misuli ya...
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
UJAUZITO WIKI YA 17: Mifupa ya mtoto yaanza kuimarika
KATIKA wiki ya 17 ya ujauzito, mwili wa mtoto unazidi kuimarika na jambo kubwa ambalo linatokea katika wiki hii ni kuzidi kuimarika kwa mifupa yake. Mifupa inabadilika kutoka kuwa ile...
11 years ago
BBCSwahili12 Sep
Mwanaume apata hisia za ujauzito
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Tatizo la kuchelewa kupata ujauzito-3
Wiki hii tunaendelea na sehemu ya mwisho ya makala hii ili wiki ijayo nianze nyingine.
MATATIZO KATIKA SHINGO YA KIZAZI
Tatizo hili linaweza kuwa la kuzaliwa nalo, likasababishwa na matumizi ya baadhi ya madawa kwa mama mjamzito ukajikuta unazaa mtoto anapata kasoro katika viungo vyake mojawapo ni viungo vya uzazi.
Tatizo katika viungo vya uzazi pia linaweza kusababishwa na maambukizi, upasuaji au magonjwa sugu katika uke au shingo ya uzazi.
Mwanamke mwenye tatizo hili hulalamika maumivu...
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Siku za mwanamke kupata ujauzito
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Fanya haya kupata ujauzito haraka
BAADA ya kufanya maandalizi ya muda mrefu kujiweka tayari kwa ajili ya kupata ujauzito na kuwa mzazi, umewadia wakati wa kuutafuta huo ujauzito kwa vitendo. Kuna mambo mengi sana yanayosemwa...