Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJAUZITO WIKI YA 14: Unaweza kujua jinsi ya mtoto

KAMA ungekuwa na uwezo wa kumuona mtoto wakati ujauzito unapoingia wiki ya 14, ungeweza kumuona akianza kufanya ishara usoni kama vile kuminya macho, kutabasamu, kunyonya kidole na hata kukojoa. Hii...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 18: Kuchagua jina la mtoto — 2

KAMA tulivyoona katika makala zilizotangulia, watu huchagua jina la mtoto kwa kufuata vigezo tofauti tofauti, lakini kwa makabila mengi nchini, moja ya jambo ambalo linatumiwa na watu wengi wakati wanapochagua...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 13: Anza kupanga bajeti ya mtoto

KATIKA makala iliyopita tuliona kuwa wiki ya 12 ya ujauzito ni muhimu sana kwa sababu ndicho kipindi ambacho mama ataanza kuhisi mitikisiko ya mtoto aliye tumboni. Wakati huu misuli ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 15: Mtoto anaanza kupata hisia

KATIKA wiki ya 15, mtoto anakuwa amefikia urefu wa inchi nne. Hivi sasa, majimaji yaliyopo tumboni yanaweza kuanza kupenya kwenye pua zake na kuingia kwenye sehemu ya juu ya njia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 17: Mifupa ya mtoto yaanza kuimarika

KATIKA wiki ya 17 ya ujauzito, mwili wa mtoto unazidi kuimarika na jambo kubwa ambalo linatokea katika wiki hii ni kuzidi kuimarika kwa mifupa yake. Mifupa inabadilika kutoka kuwa ile...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA TISA: Mtoto anaanza kukua kwa kasi

INAPOINGIA wiki hii, mtoto anakuwa amekua na kufikia urefu wa kama inchi moja hivi. Anakuwa ameshazidi ukubwa wa haragwe ambao alikuwa nao wiki iliyopita. Wakati huu anakuwa ameshaanza kuonyesha viungo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jinsi ujauzito unavyotungwa II

WIKI iliyopita tuliishia mahali ambapo tulikuwa tunaangalia mazingira tofauti tofauti ya utungaji wa mimba. Katika hilo tuliona ni kwa jinsi gani aina tofauti za mapacha wanaweza kutungiwa ujauzito. Tuendelee kuangalia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Muhula wa pili wa ujauzito (Wiki 13-26)

TUANZE makala ya leo na kishtua mada  kwa kuwasikiliza washkaji wawili. Mshikaji 1: Maisha ni kama kitabu kikubwa cha hadithi. Kila siku unapoamka unafungua ukurasa mpya. Wewe unajua idadi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA TANO: Viungo vyaanza kujijenga

BAADA ya mapumziko ya wiki moja kutokana na kuingiliwa na makala kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Nasra, leo tuendelee na mfululizo wa makala kuhusiana na makuzi ya ujauzito. Katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA NNE; Baadhi ya tahadhari za kuchukua

 KAMA tulivyoona katika makala iliyotangulia, wakati wowote hivi sasa mwanamke anaweza kujibaini kuwa ni mjamzito. Lakini tumeshaeleza kuwa ni vigumu, hasa kwa wale wanaopata ujauzito kwa mara ya kwanza, kufahamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani