Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jinsi ujauzito unavyotungwa II

WIKI iliyopita tuliishia mahali ambapo tulikuwa tunaangalia mazingira tofauti tofauti ya utungaji wa mimba. Katika hilo tuliona ni kwa jinsi gani aina tofauti za mapacha wanaweza kutungiwa ujauzito. Tuendelee kuangalia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 14: Unaweza kujua jinsi ya mtoto

KAMA ungekuwa na uwezo wa kumuona mtoto wakati ujauzito unapoingia wiki ya 14, ungeweza kumuona akianza kufanya ishara usoni kama vile kuminya macho, kutabasamu, kunyonya kidole na hata kukojoa. Hii...

 

9 years ago

Bongo5

Tunda Man kuelezea kwa wimbo jinsi alivyomtesa mama yake wakati wa ujauzito wake

Tunda Man anatarajia kuachia wimbo mpya ‘Mama Kija’ utakaoelezea jinsi alivyomtesa mama yake wakati wa ujauzito. Tunda ameiambia E-Newz ya EATV kuwa ameamua kuandika wimbo huo ili kuonyesha jinsi gani mama yake alivyoteseka kwaajili yake. “Napata hongera nyingi kutoka kwa watu wangu kwa sababu wanahisi mke wangu ni mjamzito,” alisema msanii huyo. “Lakini kitu ambacho […]

 

10 years ago

Michuzi

JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI KINAVYO ONDOLEWA KWA TIBA ASILIA

Kitambi ni ile hali ya tumbo kuwa kubwa na kuchomoza kwa mbele na wakati mwingine kufikia hatua ya kuniníginia.
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati ya bilioni 50 hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika sehemu mbalimbali za mwili wa binadamu.Kwa wanawake seli hizo zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande wa wanaume seli hizo zinapatikana sana kwenye kifua, tumboni na kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

FAHAMU JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI DAWA ASILIA YA MKATAA KITAMBI INAVYO ONDOA KITAMBI

Kitambi  ni  ile  hali  ya  tumbo  kuwa kubwa  na  kuchomoza  kwa  mbele  na  wakati mwingine  kufikia  hatua  ya  kunin’ginia. JINSI  KITAMBI  KINAVYO  PATIKANAKwa  mujibu  wa  tafiti  mbalimbali  za  kitaalamu, mwili wa binadamu una seli kati  ya bilioni 50  hadi 200 za mafuta zilizogawanyika katika  sehemu  mbalimbali  za  mwili wa binadamu. Kwa wanawake  seli hizo  zipo sana katika maeneo ya matiti, kwenye  nyonga, kiunoni na kwenye makalio.
Kwa upande  wa  wanaume seli  hizo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Umri wa ujauzito — (4)

KAMA kawaida tuanze makala hii kwa mazungumzo ya washikaji wawili ambao hutuachia ujumbe fulani. Mshikaji 1: Mshikaji unaweza kunihakikishia kuwa kuna Mungu? Mshikaji 2: Ni rahisi. Hebu siku ambayo kuna mbalamwezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukuaji wa ujauzito

BAADA ya maelezo marefu kuhusiana na jinsi ujauzito unavyotungwa, tukihitimisha na baadhi ya miiko ambayo inatajwa na kuhusishwa sana na suala hilo, sasa tuanze kuangalia jinsi kiumbe kilichomo ndani ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Umri wa ujauzito — 2

KAMA kawaida tunaanza na kishtua mada kutoka kwa washkaji wawili wakizungumzia jambo fulani na kutuachia ujumbe. Mshikaji 1: Ukifikiria sana juu ya uzee na kuzeeka, kumbe ni kama nyumba ‘inavyozeeka’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani