Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


introducing La Mgambo:by Ngoma Afrika band ya Ujerumani "JK anamaliza kazi"

NYIMBO ZA KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE HEWANI ! SI WENGINE NI NGOMA AFRICA BAND AKA FFU -Ughaibuni yenye maskani kule ujerumani  Mtunzi:Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja Waimbaji: Kamanda Ras Makunja Afande Chris-B ambaye pia ni mpiga solo gitaa Bendi: Ngoma Africa band aka FFU wasiliana nao at ngoma4U@gmail.com

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND (AKA FFU-UGHAIBUNI)WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI

Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katika onyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani. Bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wakimataifa.  Inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI WAFUNGA KAZI VECHELDE FESTIVAL,UJERUMANI

Kikosi Kazi Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni chenye maskani nchini ujerumani juzi siku ya Jumamosi ya 5 September 2015 kilifanikiwa kufunika katikaonyesho Vechelde Festival nchini Ujerumani.bendi hiyo maarufu barani ulaya kwa kuwadatisha washabiki wa muziki wa kiafrika kule ughaibuni imejijenga umaarufu katika kila kona na kuwekwa kileleni katika nafasi ya juu na washabiki wake wakimataifa.inaongozwa na kamanda Ras Makunja na kuwa na utajiri wa wanamuziki vijana wenye wingi wa vipaji...

 

11 years ago

GPL

NGOMA AFRICA BAND WAMEUTINGISHA MJI WA DORTMUND,UJERUMANI

FFU wa Ngoma Africa Band wakiwa jukwaani , Dortmund. Hali halisi katika show ya Ngoma Africa band,Dortmund.…

 

11 years ago

Michuzi

Ngoma Africa Band watingisha mji wa Dortmund,Ujerumani

 Si wengine bali ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU ukipenda waite viumbe wa ajabu "Anunnaki alien" au watoto wa mbwa, ambao walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya jumamosi 7 Juni 2014 mjini Dortmund,Ujerumani.katika onyesho la Challenge Festival liloandaliwa na umoja wa Wakameruni nchini Ujerumani. Wasikilize FFU Ughaibuni at www.ngoma-africa.com  Kamanda Ras Makunja akiongoza mashambulizi  Hapo ni supu ya mawe kwa kwenda mbele. Kamanda awapo...

 

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA VECHELDE FESTIVAL, UJERUMANI, LEO

 Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni ukipenda waiite viumbe wa ajabu Anunnaki Alien's yenye makao kule Ujerumani inatarajiwa kutingisha jukwaa katika maonyesho ya Vechelde Festival nchini Ujerumani leo kuanzia saa 2:00 Usiku katika eneo la Bürgerzentrum Vechelde liliopo mtaa wa Hildesheimer Straße 5 mjini Vechelde jirani mji wa BraunschweigBendi hiyo maarufu Ngoma Africa yenye sifa za kuwatia kiwewe washabiki wa muzikikatika maonyesho ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WIMBO WA KUMUAGA JK KUTOKA UJERUMANI KWA NGOMA AFRKA BAND

NYIMBO ZA KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE HEWANI ! SI WENGINE NI NGOMA AFRICA BAND AKA FFU -Ughaibuni yenye maskani kule ujerumani  Mtunzi:Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja Waimbaji: Kamanda Ras Makunja Afande Chris-B ambaye pia ni mpiga solo gitaa Bendi: Ngoma Africa band aka FFU wasiliana nao at ngoma4U@gmail.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani