Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


introducing Ngoma Mpya ya Julio ft Chege - Special for you

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Bongo5

New Video: Julio ft Chege — Special For You

Video mpya kutoka kwa Julio akimshirikisha Chege wimbo unaitwa “Special For You” video imeongozwa na Ada Juma

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Ngoma mpya ya Chege mtaani J’3

MSANII wa muziki kutoka kwenye kundi la TMK Family, Said Nassoro ‘Chege Chigunda’ ameelezea ujio wa video ya wimbo wa ‘Wauwe,’ akisema itakuwa mtaani kuanzia Jumatatu. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

introducing Baraka Da Prince na ngoma yake mpya 'JICHUNGE'

Hii ni video mpya ya msanii mpya wa Tetemesha Entertainment aitwaye BARAKAH da PRINCE. Wimbo unaitwa JICHUNGE. Video ilifanyika Dar na kuongozwa na director kutoka Arusha, NISHER. Leo 10.03.14 ndio tunaiachia rasmi, lakini audio itatoka rasmi wiki ijayo Jumatatu 17.03.14.

 

11 years ago

Dewji Blog

VIDEO ya Haina Noma — Julio Batalia Ft Chege na Madee hii hapa

PicsArt_1394218303907_2

Hatimaye Video ya Haina Noma Ya – Julio Batalia ambaye alikuwa mshiriki wa shindano la BIGBROTHER AFRICA SEASON 7 (StarGame) mwaka 2012 imeshakwisha na video hiyo imekabidhiwa rasmi na  director mkubwa wa kampuni ya NEXTLEVEL -Adam Juma (AJ) Akiwa na camera yenye vigezo vikubwa duniani REDCAMERA.

Video hii ambayo wameshirikishwa wasanii wakubwa wawili CHEGE CHIGUNDA kutoka TMK wanaume family na Madee ali Raisi wa Manzese kutoka TIPTOP Connection imeandaliwa katika location ya CLUB 601,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani