Ngoma mpya ya Chege mtaani J’3
MSANII wa muziki kutoka kwenye kundi la TMK Family, Said Nassoro ‘Chege Chigunda’ ameelezea ujio wa video ya wimbo wa ‘Wauwe,’ akisema itakuwa mtaani kuanzia Jumatatu. Akizungumza jijini Dar es...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi30 Oct
9 years ago
Bongo525 Nov
Chege kuitambulisha video ya ngoma aliyofanya na Runtown, SA na Nigeria

Chege Chigunda amesafiri kuelekea nchini Afrika Kusini na baadaye ataelekea Nigeria ili kuweka mazingira mazuri ya kuanza kuitambulisha video ya wimbo aliomshirikisha Runtown wa Nigeria.
Meneja wa TMK Wanaume Family, Said Fella ameiambia Bongo5 kuwa video na wimbo huo kwa hapa nyumbani vitaachiwa December 4.
“Chege yupo South kwaajili ya ile kazi na Runtown,” amesema Fella.
“Hapa nyumbani itatambulishwa tarehe 4 lakini hivi karibuni Chege ataanza kuitambulisha South Africa na...
9 years ago
Bongo503 Dec
Chege kuachia video mpya Jumatatu ijayo

Baada ya kukaa kwa wiki kibao nchini Afrika Kusini, Chege amerejea nchini Jumatano hii.
Jumatano ijayo ataachia video ya wimbo aliomshirikisha msanii wa Nigeria, Runtown.
Chege ameiambia Bongo5 kuwa akiwa nchini humo pia alikutana na wahusika wa TV mbalimbali kubwa za Afrika ili kutambulisha kazi yake mpya na kupewa ratiba ya uzinduzi.
“Nilikuwa kwenye mzungumzo ya kupewa ratiba ya kuachia video kwenye TV kubwa na nashukuru Mungu nimerudi jana na leo nitapewa ratiba kwaajili ya TV za nje,...
10 years ago
Vijimambo11 Aug
Feza Feat.Chege kwenye headlines za burudani na hii mpya ‘Sanuka’…(Audio)

Baada ya ukimya aliyekuwa mshiriki wa Big Brother, Feza Kessy ameachia single yake nyingine mpya inayoitwa ‘Sanuka’ ndani akimshirikisha Chege.
Ngoma hiyo imetayarishwa na producer Sheddy Clever.
Usikilize hapa mtu wangu…
9 years ago
Bongo530 Dec
Video mpya ya Chege ‘Sweety Sweety’ yaanza kuinyemelea chati ya MTV Base

Ni ndoto za kila msanii anayewekeza pesa zake kwenda kufanya video nje ya nchi na waongozaji wa nje kuona video yake inampigisha hatua moja mbele, moja wapo ikiwa ni kuchezwa kwenye vituo vikubwa vya nje.
Chege ni miongoni mwa wasanii walioachia video mpya hivi karibuni, na video yake ya ‘Sweety Sweety’ iliyoongozwa na Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films baada ya kupata airplay kwenye kituo cha MTV Base kwa siku 12 imeanza kunusa chati ya nyimbo bora za Afrika za kituo hicho wiki hii...
9 years ago
Bongo517 Dec
Wimbo mpya wa Chege aliomshirikisha Runtown wa Nigeria kutambulishwa leo (Dec.17) na MTV Base

Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base.
Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki).
Chege anaongezeka kwenye...
11 years ago
Michuzi25 Jun
FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI
11 years ago
GPL25 Jun
FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI KUINGIA MTAANI HIVI KARIBUNI
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Trailer: Filamu mpya ya Kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi kuingia mtaani hivi karibuni
Filamu mpya ya kiswahili iliyochezwa nchini Uholanzi chini ya Director mpya Hija Salehe.Filamu yenye mafunzo,ucheshi na vingi vihoja ndani ya wasanii wapya wenye mvuto na ujuzi mwingi ndani yake.tazama kibwagizo tu kidogo uhondo unakuja hivi karibu.Jina la filamu ni NIMPENDE NANI
Kutana na wasanii wenye makeke kama Omary Abbas, Khatib Mustapha, Nicolas Gabino, Mrembo anayekubalika Sonia Kasuka, Shamim Sudi, na wengine kibao ambao ni gumzo katika filamu hii mpya ya Kiswahili.