Chege kuitambulisha video ya ngoma aliyofanya na Runtown, SA na Nigeria
Chege Chigunda amesafiri kuelekea nchini Afrika Kusini na baadaye ataelekea Nigeria ili kuweka mazingira mazuri ya kuanza kuitambulisha video ya wimbo aliomshirikisha Runtown wa Nigeria.
Meneja wa TMK Wanaume Family, Said Fella ameiambia Bongo5 kuwa video na wimbo huo kwa hapa nyumbani vitaachiwa December 4.
“Chege yupo South kwaajili ya ile kazi na Runtown,” amesema Fella.
“Hapa nyumbani itatambulishwa tarehe 4 lakini hivi karibuni Chege ataanza kuitambulisha South Africa na...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Dec
Wimbo mpya wa Chege aliomshirikisha Runtown wa Nigeria kutambulishwa leo (Dec.17) na MTV Base
Ni muda mrefu umepita toka msanii kutoka TMK, Chege Chigunda aanze kuzunguzia kuwa anafanya collabo na msanii wa Nigeria, Runtown na Uhuru wa Afrika Kusini – Sweety Sweety, na hatimaye sasa video ya wimbo huo iliyofanyika Afrika Kusini hivi karibuni itatambulishwa kwa mara ya kwanza kupitia MTV Base.
Video hiyo iliyoongozwa na Justin Campos wa Gorilla Films itaoneshwa kwenye Spanking New ya MTV Base Ahamisi Dec. 17, 2015 saa 12 jioni (saa za Afrika Mashariki).
Chege anaongezeka kwenye...
9 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: CHEGE ft. RUNTOWN & UHURU - SWEETY SWEETY (Official Video)
Published on Dec 18, 2015Watch and share , brand new music video "Sweety sweety" by Tanzania bongo flava artist Chege Featuring artist from Nigeria Runtown and Uhuru from South Africa xelimpilo.
Directed by Justin Campos | Produced by Dj Maphorisa.
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from...
9 years ago
Bongo519 Dec
Video: Chege Feat.Runtown & Uhuru – Sweety sweety
Video mpya kutoka kwa msanii toka Temeke Dar es Salaam, Chege amewashirikisha Uhuru na Runtown wimbo unaitwa “Sweety Sweety” angalia hapa, Video imeongozwa na Justin Campos wa South Africa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Dakika 4 za ‘Sweety Sweety’ iliyoletwa na Chege kutoka South Africa, Feat. Uhuru & Runtown.. (+Video)
Inawezekana kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 pamoja na shughuli za uchaguzi wenyewe vilifanya wasanii wengi wakakaa zao na mizigo ya ngoma kali chimbo ili kusubiri hali ikae sawa ndio vitu viachiwe. Chege nae alikuwa chimbo na mzigo wa bondeni nini ??!! Kama umeshtukia ni kwamba mawimbi ya radio TZ yamepakua ngoma mpya karibu kila siku […]
The post Dakika 4 za ‘Sweety Sweety’ iliyoletwa na Chege kutoka South Africa, Feat. Uhuru & Runtown.. (+Video) appeared first on...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
9 years ago
Bongo522 Dec
Music: Chege Ft. Runtown & Uhuru – Sweety Sweety
Msanii kutoka TMK Chege Chigunda ameachia rasmi single yake mpya inaitwa “Sweety Sweety” amewashirikisha Runtown kutoka Nigeria na Uhuru kutoka South Afrika. Producer Dj Maphorisa.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Ngoma mpya ya Chege mtaani J’3
MSANII wa muziki kutoka kwenye kundi la TMK Family, Said Nassoro ‘Chege Chigunda’ ameelezea ujio wa video ya wimbo wa ‘Wauwe,’ akisema itakuwa mtaani kuanzia Jumatatu. Akizungumza jijini Dar es...
10 years ago
Michuzi30 Oct
9 years ago
Bongo521 Dec
Trey Songz athibitisha mbele ya mashabiki wa Nigeria juu ya collabo aliyofanya na Davido
Kwenye orodha ya nyimbo za album mpya ya Davido “B.A.D.D.E.S.T” ambayo ilikuwa itoke mwishoni mwa mwaka huu kabla ya kusogezwa hadi mwakani 2016, kuna wimbo ambao staa huyo wa Nigeria amemshirikisha muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz.
Licha ya kuwa aliwahi kuthibitisha kupitia Twitter, Trey Songz ambaye Ijumaa iliyopita (Dec.18) alitumbuiza Lagos, Nigeria kwenye tamasha kubwa la kila mwaka Rhythm Unplugged, mitandao ya Nigeria imeripoti kuwa Trey alithibitisha kwa mara nyingine...