Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL na PAP zaichangia milioni 10/= kampeni ya Imetosha


Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga mauaji ya watu wenye albino. Kushoto ni Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege. Balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu (kulia) akizungumza na wanahabari kwenye hafla fupi ya kukabidhiwa shilingi milioni 10 zilizotolewa na Makampuni ya IPTL na PAP kusaidia kampeni maalumu kupinga mauaji ya watu wenye albino. Kushoto ni Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege.
Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry Mdimu mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 fedha waliyoitoa kusaidia harakati za imetosha jana jijini Dar es Salaam. Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Makampuni ya IPTL na PAP, Bw. Joseph Makandege (kushoto) akimkabidhi balozi wa kujitolea wa Imetosha Foundation, Henry...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Kanisa la Pugu Chanika SDA lapata milioni 5 kutoka IPTL/PAP kuendeleza ujenzi

 KANISA la Waadventista wa Sabato la Pugu Chanika lililopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam sasa linaweza kuendeleza mradi wake wa ujenzi na upanuzi wa kanisa baada ya kupata msaada wa fedha wa shilingi milioni 5 kutoka kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Msaada huo uliotolewa wakati wa ibada Jumamosi, umefufua jitihada la kanisa za kutanua na kumalizia ukumbi wa kanisa uliopo sasa pamoja na kumalizia ujenzi wa majengo mengine.
Mwakilishi kutoka IPTL...

 

10 years ago

Tanzania Daima

IPTL/PAP yawaonya wanasiasa

KAMPUNI ya IPTL/PAP imewataka wanasiasa kutambua kwamba kampuni hiyo sio mali ya serikali, bali inazalisha na kuuza umeme. Imesema kuendelea kujadili masuala ya ndani ya uendeshaji ikiwemo namna ya kuzalisha...

 

11 years ago

TheCitizen

PAP: IPTL takeover was a clean deal

The executive chairman of Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP), Mr Harbinder Singh Sethi, has finally come out this week to defend the way his company acquired Independent Power Tanzania Limited (IPTL).

 

10 years ago

Dewji Blog

IPTL/PAP sponsors Zalendo Games

Zalendo 6

Independent Power Tanzania Limited (IPTL), a subsidiary of Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) has made it possible for young Tanzanians to showcase their talents in playing unique rare games in Tanzania sports history.

Through its sponsorship to IPTL Zalendo Games, the company helped to bring together the Zalendo teams more specifically the Zalendo Bikers, Zalendo BMX, Zalendo Skaters (forming Tanzania Skate Miracle) and Race car drivers. The four teams had a very thrilling and...

 

10 years ago

Habarileo

IPTL, PAP zapinga Bunge mahakamani

Katibu na Mshauri Mkuu wa Sheria wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Pan AfricaPower Solutions (T) Ltd, Joseph Mwakandege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sakata la ununuzi wa IPTL. Kushoto ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPTL na PAP, Harbinder Singh Sethi. KAMPUNI za Pan Africa Power Solution Tanzania Limited (PAP) na Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) na Harbinder Singh Sethi, wamefungua kesi ya kikatiba kupinga utekelezaji wa maazimio ya Bunge yaliyotolewa kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), inayodaiwa kuchotwa zaidi ya Sh bilioni 300.

 

10 years ago

TheCitizen

Court shields IPTL, PAP from ‘anticipated action’

>Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Pan African Power Solutions (PAP), the key parties in the Sh306 billion Tegeta escrow scandal, yesterday obtained High Court protection on the eve of debate on the Controller and Auditor General’s report on the scam.

 

11 years ago

Daily News

IPTL, PAP push to prevent power tariff recalculations


IPTL, PAP push to prevent power tariff recalculations
Daily News
COUNSEL for Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Pan African Power Solution Limited (PAP) on Thursday asked the High Court to stop the Standard Chartered Bank (Hong Kong) Limited and two others, from enforcing a foreign decision for ...

 

10 years ago

Dewji Blog

IPTL/PAP yawekeza katika mapambano dhidi ya Malaria

11

Kina mama wajawazito na watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni sehemu ya walengwa wakuu wa msaada wa vyandarua vyenye viwatilifu ulipotolewa na makampuni ya IPTL na PAP. Hapa kina mama wenye watoto wadogo wakiwa kwenye foleni ya kupokea msaada kata ya Wazo.

1

Kina baba hawakuwa nyuma katika kuunga mkono jitihada za kupambana na Malaria kwa kuungana na kina mama kupokea msaada wa vyandarua vyenye viwatilifu uliotolewa na Kampuni za IPTL/PAP katika kata za Wazo na Kundunchi.

6

Mama huyu...

 

10 years ago

Michuzi

IPTL/PAP ya wekeza katika mapambano dhidi ya Malaria

Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo ni kampuni tanzu ya kampuni ya Pan Africa Power Solutions (T) Limited imetoa msaada wa vyandarua 700 vyenye viwatilifu kwa vituo vya afya vilivyopo kwenye kata za Wazo, Kunduchi na Kawe kwenye wilaya ya Kinondoni katika kuadhimisha ya siku ya Malaria duniani. Akizungumza kwa niaba ya Uongozi wa IPTL na PAP, Katibu na mshauri mkuu wa sheria wa kampuni hizo, Bw. Joseph Makandege alisema: “IPTL inakubaliana kabisa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani