Iraq;Serikali yakomboa miji kadhaa
Ripoti kutoka Iraq zasema vikosi vya serikali pamoja na wanamgambo wa kishia wameyateka baadhi ya maeneo yaliodhibitiwa na waasi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Majeshi ya Iraq yakomboa Tikrit
Maofisa wa serikali nchini Iraqi wamesema kwamba majeshi ya serikali yanayoungwa mkono na majeshia ya Shia yamefanikiwa kuyakomboa baadhi ya maeneo ya mji wa Tikrit kutoka katika himaya ya wanamgambo wa dola ya kiislam Islamic State .
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Serikali yadhibiti miji miwili Ukraine
Vikosi vya serikali Kiev vimeyadhibiti Artyomivsk na Druzhkivka kutoka kwa waasi wanaoiunga Urusi mkono mashariki mwa Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili12 Jul
Iraq yashauriwa iunde serikali
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa aishauri Iraq ifanye haraka kuunda serikali ya pamoja
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Malik:Serikali ya umoja haifai Iraq
Waziri mkuu nchin Iraq Nouri al Malik ameonya kwamba serikali ya umoja nchini humo ni mapinduzi dhidi ya katiba ya taifa hilo.
11 years ago
BBCSwahili12 Jul
HRW:Serikali ya Iraq iliwauwa wafungwa
Shirika la haki za binaadamu,Human Rights Watch lasema kuwa vikosi vya serikali ya Iraq vinadaiwa kuwauawa zaidi ya wafungwa 250
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Iraq:Serikali mpya kushirikisha wasunni
Msemaji wa chama cha waziri mkuu nchini Iraq ameimbia BBC kwamba Nouri al Malik atabuni serikali itakayoshirikisha kila mtu
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Bunge la Iraq laidhinisha serikali mpya
Bunge la Iraq limeidhinisha serikali mpya itakayoshirikisha makundi muhimu nchini humo.
9 years ago
BBCSwahili11 Oct
Majeshi ya Syria yakomboa vijiji Idlib
Wanajeshi wa serikali ya Syria, wakisaidiwa na Hezbollah, wamesonga mbele sana dhidi ya waasi, baada ya mashambulio makali ya ndege za Urusi.
9 years ago
Habarileo30 Oct
CCM yakomboa majimbo 13, yazoa 188
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeyarejesha mikononi majimbo ya uchaguzi 13 yaliyokuwa kwenye mikono ya vyama vya upinzani, huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikichukua majimbo 16 yaliyokuwa mikononi mwa chama tawala miaka mitano iliyopita.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania