Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Is Navy Kenzo taking over the spotlight in the African music industry?

12394094_1645353559072338_1845506408_n

Navy Kenzo music group which is composed of Aika and Nahreel have continued to shine in Tanzania and across Africa.

They have been the only duo to represent Tanzania to Africa and the world, with their video Game featuring Vanessa Mdee, being announced as the number four in the list of top 50 best videos that performed well in 2015 on the MTV Base Africa.

Diamond Platnumz and his song Nana was held number 5 In the chat. Nana was also produced by none other than the music prodigy, Nahreel...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo — Moyoni

Wimbo mpya wa kundi la Navy Kenzo unaitwa ‘Moyoni’.

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Navy Kenzo — I Just Wanna Love U

Producer Nahreel na Aika wanaounda kundi la Navy Kenzo wameachia video ya wimbo wao mpya ‘I just Wanna Love You’. iliyoongozwa na director Khalfani. Itazame.

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo Ft Young Dee — Viza

Wimbo mpya kutoka kwa Navy Kenzo wakimshirikisha Young Dee wimbo unaitwa “Viza” Producer Nahreel

 

9 years ago

Bongo5

‘Game’ ya Navy Kenzo yakamata namba 1 kwenye ‘Official African Chart ‘ ya MTV Base

Navy Kenzo wanaendelea kula matunda ya juhudi zao katika muziki, ambapo uwekezaji walioufanya kwenye video yao ya ‘Game’ unaendelea kuzaa matunda. Hatimaye hit song yao ‘Game’ imefanikiwa kupanda hadi namba 1 wiki hii kwenye chati ya video bora za Afrika, ‘Official African Chart’ ya kituo cha MTV Base. Hadi sasa ‘Game’ imewafungulia Navy Kenzo njia […]

 

9 years ago

Bongo5

Kundi la Navy Kenzo lachaguliwa kuwania tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria

Kundi la Navy Kenzo limechaguliwa kuwania kipengele cha Kundi Bora La Muziki katika tuzo za ‘Top Naija Music Awards 2015’ za Nigeria.

Navy Kenzo Naija Awards

Makundi mengine ya Nigeria ambao yanawania kipengele kimoja na Navy Kenzo ni Dupi 2, Connect Music Group (Cmg), Ace Republic, Dp-Kings na Betrose.

Kura zimeanza kupigwa November 8, 2015 na zitafungwa December 31, 2015. Washindi wa tuzo hizo watatangazwa January 2, 2016 na sherehe ya utolewaji wa tuzo itafanyika January 26, 2016 jijini Lagos, Nigeria.

Navy...

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo wagombewa kimataifa

navyNA SHARIFA MMASI

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.

Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.

Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo gumzo Nigeria

Navy KenzoNA CHRISTOPHER MSEKENA

KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.

Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.

“Wanadai ‘audio’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani