Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ISHU YA DENI LA MABILIONI YA MADAWA, WANANCHI WAMPA ‘BIG UP’ MBUNGE

Mbunge wa Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhanga Mpina akizunumza kwenye moja ya vikao vya Bunge mjini Dododma. WANANCHI wa kada mbalimbali nchini, wamempa ‘big up’ na kumuunga mkono Mbunge wa Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhanga Mpina (pichani) kwa kitendo chake cha kuomba Bunge la Jamhuri ya Muungano kusitisha mikutano yake, ili fedha zinazolipwa kwa wabunge ziiwezeshe serikali kulipa deni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Uvutaji sigara wa mumewe wampa mabilioni

Kampuni ya utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mjane mmoja.

 

11 years ago

Michuzi

BIG RESULTS NOW' YAKUSANYA MABILIONI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA

 Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, leo Machi 28, 2014. Semina hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha kwa lengo la utaratibu wa kutimiza utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now).   Baadhi ya 'Mablogger', wakiwa bize wakati wa semina hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha.  Baadhi ya 'Mablogger',...

 

10 years ago

Vijimambo

Alichokijibu Mbunge Mbatia kuhusu ishu ya kusema kuwa Mrema ni mgonjwa…

Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) alitoa hoja binafsi Bungeni kwamba MbungeJames Mbatia amekuwa akipita Jimbo la Vunjo na kuwaambia wapigakura wasimchague Mrema kwa sababu ni mgonjwa.“Napenda kusema kuwa mimi ni mbunge halali wa Vunjo na Mbatia hatapata jimbo hilo na ninatangaza kuwa nitagombea tena na hafi mtu hapa“– Alisema Mrema wakati akimalizia kuwasilisha hoja yake hiyo.
Leo wakati wa kikao cha Bunge jioni, Mbunge Mbatia alipata nafasi kujibu kuhusu ishu hiyo; “Maelezo haya nayatoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbunge: Mgodi Bulyanhulu ushinikizwe kulipa deni

SERIKALI imetakiwa kufanya mazungumzo na mwekezaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, ili iweze kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...

 

5 years ago

Michuzi

WIZI WA BIBLIA WAMPONZA KIBAKA DAR, WANANCHI WAMPA KIPIGO 'PAKA MWIZI'


Na Said Mwishehe,Michuzi TV

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Ndonga mkazi wa Majumbasita jijini Dar es Salaam amejikuta akipokea kipigo cha 'Paka mwizi' kutoka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukwapua Biblia ya muumini wa dini ya Kikristo aliyekuwa akielekea Kanisani.

Tukio hilo limetokea leo Juni 7,2020, saa 12 asubuhi Njia Panda ya Segerea eneo la reli ambapo kijana huyo kabla ya kukwapua Bibli hiyo alitoa panga lake na kisha kumpiga na ubapa wa panga mgongoni muumini huyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wa Temeke sasa kufidiwa mabilioni

Manispaa ya Temeke inatarajia kutumia zaidi ya Sh20 bilioni kwa ajili ya kuwalipa fidia wakazi wa manispaa hiyo eneo la Temeke, ambao nyumba zao ziliwekwa alama ya X kupisha ujenzi wa barabara.

 

11 years ago

Michuzi

Mbunge Ndungulile aanika siri mpya za matumizi ya madawa ya kulevya kwa watoto wadogo

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile akifungua rasmi Baraza la kazi la UVCCM (W) Temeke mbele ya Wajumbe (hawapo pichani) lililofanyika kwenye ukumbi wa Malaika uliopo Kata ya vijibweni, Jimbo la Kigamboni. Picha na Emmanuel J. Shilatu --------------------------------------- Na Emmanuel J. Shilatu Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndungulile ameanika siri na aina mpya ya wauzaji wa madawa ya kulevya wanayoitumia katika kupanua wigo wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Atoa Maelezo Yake binafsi Bungeni Baada ya Ishu ya Faiza Ally na Mtoto Wao kuzungumzwa Hapo Jana

Kwenye kilichosikika jana June 25 2015 toka ndani ya Kikao cha Bunge Dodoma ilikuwepo pia ishu ya Mbunge Martha Mlata kuanzisha mjadala kuhusu amri ya Mahakama kwamba Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Sugu akabidhiwe mtoto wake ambae amezaa na Faiza Ally kutokana na Mbunge huyo kuonekana kutoridhwishwa na malezi ya mtoto akiwa kwenye mikono ya mama yake.

Ombi likapokelewa kwenye meza ya Naibu Spika leo June 26 2015 >>>”Nimepokea ombi maalum la kuwasilisha maombi binafsi kutoka kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani