Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ITV sasa kuonekana kupitia DStv

MultiChoice Africa, kampuni inayoongoza katika kutoa burudani ya kulipiwa ya dijitali pamoja na IPP Media wamesaini makubaliano yatakayoleta chaneli maarufu zaidi Tanzania, ITV, kuwa sehemu ya jukwaa la DStv.
Ushirikiano huu wa kusisimua utawapa watazamaji wa Tanzania kote nchini fursa ya kuangalia vipindi vilivyotengenezwa hapa hapa nchini vikiwa na ubora mkubwa kidijitali. Chaneli hii itapatikana kwenye vifurushi vyote vya DStv ikiwemo kifurushi kilichozinduliwa hivi karibuni cha Bomba,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

THE MBONI SHOW SASA KUANZA KUONEKANA KWENYE DSTV

The MBONI show sasa kuanza kuonekana kwenye DSTV

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

BET ya Afrika kuzinduliwa kupitia DSTV Premium

Viacom International Media Networks (VIMN) Africa ikishirikiana na MultiChoice Africa watazindua channel mpya ya BET kwajili ya Afrika. BET ya Afrika itaanza kuonekekana live April,2 2015 saa 17:20 CAT/16:20 WAT,kupitia DSTV Premium, channel 129 huku Channel ya siku zote ya BET2 (zamani BET), itaonekana kupitia DSTV channel 135 na GOtv channel 23. Channel hiyo mpya […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani