Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IVO SHUJAA SIMBA IKITWAA KOMBE LA MAPINDUZI

Kipa mkongwe Ivo Mapunda ameibeba Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi baada ya kupangua mkwaju wa penalti wa mkongwe Vicent Barnabas.Mapunda aliingia uwanjani katika dakika ya 90 kuchukua nafasi ya Peter Manyika ikiwa ni sehemu ya kupewa jukumu la kupangua mikwaju hiyo.Simba imefanikiwa kushinda kwa mikwaju 4-3 baada ya wachezaji wawili wa Mtibwa kukosa na mmoja Simba Shabani Kisiga kukosa pia.Kwa ushindi huo, Simba imekabidhiwa kitita cha Sh milioni 10 wakati washindi wa pili Mtibwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Simba wapania Kombe la Mapinduzi

TIMU za Simba na Azam zimepania kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuhakikisha zinapambana mwanzo hadi mwisho na kushinda kila mchezo ulioko mbele yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba SC mabigwa wa kombe la mapinduzi

Timu ya Simba Sc imeibuka kidedea kwa kutwaa kombe la mapinduzi kwa mikwaju 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA WAREJEA DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI

Golikipa chipukizi wa Timu ya Simba Sc,Manyika Peter ‘Manyika Jr’ (wa pili kushoto) wakiwakabidhi Kombe Mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutokea visiwani Zanzibar kwenye Mashindano ya Mapinduzi Cup,ambapo Simba waliibuka mabingwa.Mashabiki wa timu Simba SC wakishangilia ubingwa wao.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Na Bakari  Issa ,Globu ya Jamii Dar
Klabu ya Soka ya Simba leo hii imerejea jijini Dar es Salaam toka visiwani Zanzibar ambapo imeibuka kinara wa Kombe la...

 

10 years ago

Bongo5

Simba yatwaa kombe la Mapinduzi 2015

Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba, usiku wa kuamkia leo waliibuka washindi katika mchezo wa fainali ya kombe la Mapinduzi kwa kuwafunga Mtibwa Sukari kwa changamoto ya Mikwaju ya Penati. Mchezo huo ulifanyika huko kisiwani Unguja. Simba walifanikiwa kupata panati nne na kukosa moja huku mtibwa wakipata penati tatu na kukosa mbili.

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mtibwa Sugar wakati wa mechi ya fainali Kombe la Mapinduzi usiku huu huko Zanzibar. Patashika wakati wa mtanange huo.…

 

10 years ago

CloudsFM

SIMBA SC WALIVYOTUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI

KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kiliwasili jijini Dar jana kikitokea Mjini Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

SIMBA SC WATUA JIJINI DAR NA KOMBE LA MAPINDUZI

Kipa wa Simba SC, Manyika Peter akikabidhi Kombe la Mapinduzi kwa mashabiki wa timu hiyo mara baada ya kuwasili kutoka Mjini Zanzibar leo. KIKOSI cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC kilichotwaa Kombe la Mapinduzi jana usiku kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kimewasili jijini Dar leo kikitokea Mjini Zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA NA MTIBWA KOMBE LA MAPINDUZI KATIKA PICHA

Mshambuliaji wa timu ya Simba Ramadhani Singano Messi, akimpita beki wa timu ya Mtibwa Sugar wakati wa mchezo wao wa Fainal ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika usiku huu uwanja wa Amaan, Timu ya Simba imeshinda kwa penenti 4--3Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi liofanyika usiku huu uwanja wa amaan Zanzibar timu ya Simba imeshinda mchezo huo na kuwa Bingwa kwa mwaka 2015 bingwa Mapinduzi Cup.Mshambuliaji wa timu ya Simba Emanuel Okwi,...

 

9 years ago

Mwananchi

Kombe la Mapinduzi lilete tija Yanga, Azam, Simba

Inawezekana kuhoji mashindano haya ya Kombe la Mapinduzi yaliyoanza jana kisiwani Zanzibar na kushirikisha timu mbalimbali, zikiwamo za Ligi Kuu ya Bara, yana manufaa gani kwa maendeleo ya soka?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani