Izo Business na Ben Paul wapamba uzinduzi wa kampeni ya SHUGA Redio mkoani Iringa
Afisa Mipango VVU/UKIMWI kutoka UNICEF, Bi. Alice Ijumba akitoka kukagua jukwaa lenye hadhi ya kimataifa la Ebony FM kwenye uzinduzi wa kampeni ya SHUGA Redio uliofanyika jana kwenye viunga vya Samora mkoani Iringa.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Tosamaganga wakiwasili kwenye viwanja vya Samora mjini Iringa kushuhudia uzinduzi wa kampeni ya SHUGA Redio inayowalenga vijana wenye umri kati ya miaka 15-24 iliyozinduliwa rasmi jana mkoani...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLIZO BUSINESS NA BEN PAUL WAPAMBA UZINDUZI WA KAMPENI YA SHUGA REDIO MKOANI IRINGA
10 years ago
Mtanzania03 Feb
Izo Business: Sioni umuhimu wa kujihusisha na siasa
NA JUMA HEZRON, DAR ES SALAAAM
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.
“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu...
10 years ago
CloudsFM03 Feb
Izo Business asema haoni umuhimu wa kujihusisha na siasa
MSANII wa muziki wa Hip Hop, Emmanuel Simwinga ‘Izo Business’, amesema licha ya kushauriwa na rafiki zake kuingia kwenye siasa, bado hajaona umuhimu wa kufanya hivyo.Akizungumza na MTANZANIA jana, Izo Business alisema hakuna umuhimu wa kuingia kwenye siasa, kwani inatakiwa mtu ajitoe kwa ajili ya watu na siyo kuingia ili ujipatie fedha kama yalivyo mawazo ya wasanii wengi.“Siasa kwa upande wangu sijaipa kipaumbele, ingawa nimeshawishiwa na marafiki zangu nigombee nafasi mbalimbali,” alisema...
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Mradi mpya wa SHUGA unaoelekeza kupunguza Maambukizi ya VVU kwa Vijana waanzishwa katika Redio Jamii
Meneja wa kituo cha Sengerema FM Redio, Ndg. Felician Ncheye, akitoa nasaha za ukaribisho kwa washiriki wa mradi wa SHUGA na mgeni rasmi. Katikati ni Mgeni rasmi Mratibu wa UKIMWI halmashauri ya Sengerema mkoa wa Mwanza kupitia mradi wa TACAIDS, Ndg. Geofrey Mabu na Kulia ni Afisa Mipango VVU/UKIMWI UNESCO, Ndg. Herman Mathias.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu, SENGEREMA – MWANZA
Redio za jamii nchini zimeaswa kutumika vizuri katika kuelimisha kamii juu ya...
11 years ago
CloudsFM09 Jul
WATU WAMSHANGAA IZO BUSINESS BARABARANI MCHAFU ANAOKOTA MAKOPO
Hivi karibuni wakazi wa maeneo ya Sinza,jijini Dar walipata mshangao baada ya kumwona Rapa Izzo Businezz akiwa akiwa mchafu akipiga njaa kwa ajili ya cover ya ngoma yake mpya inaitwa ‘Walalahoi’, ambayo Izzo ameonekana akiwa kwenye banda la mkaa na nyingine ameonekana akiwa barabarani huku akiwa ameshikilia gunia lake la makopo.Huyu hapa Izzo Business akifunguka changamoto zilikuaje kwenye kupiga picha za cover za ngoma hii.
11 years ago
GPLMRADI MPYA WA SHUGA UNAOELEKEZA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU KWA VIJANA WAANZISHWA KATIKA REDIO JAMII
11 years ago
MichuziCHADEMA YAENDELEA NA KAMPENI ZAKE ZA UCHAGUZI JIMBO LA KALENGA MKOANI IRINGA
Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa kiongozi wa CCM...
9 years ago
MichuziLOWASSA AFUNGA KAZI MKOANI IRINGA KATIKA MKUTANO WAKE WA KAMPENI
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
11 years ago
MichuziMANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA