Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Izzo Bizness: Sitoi wimbo bila mama kuukubali

IzzomNA CHRISTOPHER MSEKENA

MKALI anayefanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya nchini, Emmanuel Simwinga ‘Izzo Bizness’, amesema kabla hajatoa wimbo ni lazima ampe mama yake ausikilize ndiyo aupeleke redioni.

Izzo alisema tabia hiyo aliianza baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza wa ‘Biziness’ na alipoupitisha huwa na mafanikio makubwa, ndiyo maana anaendelea na hali hiyo hadi sasa.

“Huwa namtumia nyimbo mbili kisha yeye anachagua upi niutoe, nipo tofauti na wasanii wengi ambao kabla hawajatoa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness adai hawezi kutoa wimbo bila mama yake kuupitisha

Izzo B.psd_

Rapper Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness, amesema kabla hajatoa wimbo ni lazima ampe mama yake ausikilize kwanza.

Izzo

Izzo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa tabia hiyo aliianza baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza wa ‘Bizness’ na alipoupitisha ukawa na mafanikio makubwa.

“Huwa namtumia nyimbo mbili kisha yeye anachagua upi niutoe,” alisema.

“Nipo tofauti na wasanii wengi ambao kabla hawajatoa wimbo huwa wanawapa watangazaji, madj na wadau wengine wa muziki. Lakini mimi mama yangu ndio amekuwa...

 

11 years ago

Bongo5

Video: Mashairi ya wimbo mpya wa Izzo Bizness ‘Walalahoi’

Izzo Bizness wiki hii ametoa single yake mpya aliyoipa jina la ‘Walalahoi’, haya ni mashairi ya wimbo huo.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Izzo Bizness azungumzia wimbo wake mpya ‘Shem Lake’

Izzo Bizness ametutembelea kuzungumzia wimbo wake mpya ‘Shem Lake’ aliowashirikisha Mwana FA na G-Nako. Tazama mahojiano hayo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

MillardAyo

Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio)

Rapper kutoka Mbeya City ambaye leo December 25 2015 anasherehekea pia siku yake ya kuzaliwa… Happy BIRTHDAY na kila la kheri mtu wetu Izzo Bizness.. umetimiza miaka mingapi leo ?!! Okay, tuachane na hilo la umri wa Izzo… Christmas hii Izzo kaona aangushe kitu kizuri kushare na watu wake wote, kwa maana nyingine hii ndio […]

The post Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness awashirikisha Mwana FA na G-Nako

Rapper Izzo Bizness amesema anajipanga kuachia kazi yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA pamoja na G-Nako. Izzo ameiambia Story Tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa anajisikia faraja kufanya kazi na rapper kama FA ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye muziki wake kwa nyakati tofauti. “Ngoma yangu mpya nimewashirikisha G-Nako pamoja na Mwana FA na […]

 

10 years ago

GPL

IZZO BIZNESS ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania,  Izzo Bizness akipozi katika studio za Global TV Online.  Izzo Bizness akiwa kwenye pozi baada ya kufanya mahojiano.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani