Video: Mashairi ya wimbo mpya wa Izzo Bizness ‘Walalahoi’
Izzo Bizness wiki hii ametoa single yake mpya aliyoipa jina la ‘Walalahoi’, haya ni mashairi ya wimbo huo.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo513 Oct
Video: Izzo Bizness azungumzia wimbo wake mpya ‘Shem Lake’
9 years ago
Bongo519 Dec
Izzo Bizness awajibu mashabiki walioikosoa video yake mpya ‘Shem Lake’
Si jambo geni kwa msanii kukosolewa baada ya kuachia kazi yake, lakini kama wakosoaji wakiwa ni wengi zaidi ya wanaoisifia hapo huwa lazima kuna kitu ambacho kweli kinakuwa hakijaenda sawa.
Izzo Bizness baada ya kuachia video yake mpya ‘Shem Lake’ siku mbili zilizopita amepata comments tofauti, wapo walioisifia na wengine walioikosoa.
Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Izzo amewajibu mashabiki wake na kutoa maelezo kuhusu kwa nini video yake imekuwa tofauti na walivyotarajia, japo...
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Izzo Bizness: Sitoi wimbo bila mama kuukubali
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MKALI anayefanya vizuri kwenye muziki wa kizazi kipya nchini, Emmanuel Simwinga ‘Izzo Bizness’, amesema kabla hajatoa wimbo ni lazima ampe mama yake ausikilize ndiyo aupeleke redioni.
Izzo alisema tabia hiyo aliianza baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza wa ‘Biziness’ na alipoupitisha huwa na mafanikio makubwa, ndiyo maana anaendelea na hali hiyo hadi sasa.
“Huwa namtumia nyimbo mbili kisha yeye anachagua upi niutoe, nipo tofauti na wasanii wengi ambao kabla hawajatoa...
9 years ago
Bongo506 Nov
Izzo Bizness adai hawezi kutoa wimbo bila mama yake kuupitisha
Rapper Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness, amesema kabla hajatoa wimbo ni lazima ampe mama yake ausikilize kwanza.
Izzo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa tabia hiyo aliianza baada ya kutoa wimbo wake wa kwanza wa ‘Bizness’ na alipoupitisha ukawa na mafanikio makubwa.
“Huwa namtumia nyimbo mbili kisha yeye anachagua upi niutoe,” alisema.
“Nipo tofauti na wasanii wengi ambao kabla hawajatoa wimbo huwa wanawapa watangazaji, madj na wadau wengine wa muziki. Lakini mimi mama yangu ndio amekuwa...
10 years ago
Bongo511 Sep
Picha: Izzo B kuachia video ya ‘Walalahoi’ hivi karibuni
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio)
Rapper kutoka Mbeya City ambaye leo December 25 2015 anasherehekea pia siku yake ya kuzaliwa… Happy BIRTHDAY na kila la kheri mtu wetu Izzo Bizness.. umetimiza miaka mingapi leo ?!! Okay, tuachane na hilo la umri wa Izzo… Christmas hii Izzo kaona aangushe kitu kizuri kushare na watu wake wote, kwa maana nyingine hii ndio […]
The post Izzo Bizness katuletea zawadi ya Christmas, wimbo ni ‘Walala Hoi Part 2’- Feat. Navio & Mwasiti.. (+Audio) appeared first on...