Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JABALI AFRICA YATIKISA WASHINGTON, DC

Wanamuziki wa bendi wanaoishi DMV na wanaounda kundi la bendi ya Jabali Africa wenye asili ya Kenya siku ya Jumamosi Julai 15, kundi hilo lilitumbuiza katikati ya jiji la Washington, DC na kukusana  watu na wengi wakiwa Vijana wa zamani.Mwanamuziki aliyewahi kuvuma miaka ya nyuma Sam Mapangala akiimba wimbo wa vunja mifupa ambao ndio uliokua chaguo la wengi.Wadau wakichea wakati Bendi ya Jabali Africa ilipokua ikitumbuiza.Wadau wakiendelea kusakata RhumbaWadau wakipata picha na Sam...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili Washington kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya maafisa waliofika kumpokea wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barack Obama wa unaotaraji kuanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji (2-3 Agosti, 2014) jijini Washington DC. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI WASHINGTON KUHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AMERIKA NA AFRICA (US-AFRICA LEADERS SUMMIT)‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014, ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali na uwekezaji  (2-3 Agosti, 2014)  jijini Washington… ...

 

9 years ago

Vijimambo

Mahojiano na waasisi wa Jabali Afrika

Wawili kati ya waanzilishi wa JABALI AFRIKA, Justo Asikoye na Joseck Asikoye walipata fursa ya kutembelea Kilimanjaro Studio zilizopo Beltsville Maryland na kuzungumza na Mubelwa Bandio na Dj Luke Joe kuhusu kazi zao
Ilikuwa ni katika kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinachosikika kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki
KARIBU

 

11 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi wa Kitabu cha “Wekeza Africa 2014″ Washington, DC

kitabu 1

Scott Eisner (kulia)vice President of African Affairs, US Chambers of Commerce akifungua sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza Afrika 2014 iliyofanyika US Chambers of Commerce Washington, DC siku ya Jumatatu May 19, 2014 wengine katika meza ni Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali na Paul Duffen ambaye ni News Desk Media.

Sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza afrika 2014 “.invest in africa 2014″ kitabu kinachotolewa na ubalozi wa umoja wa afrika ilifanyika Jumatatu...

 

9 years ago

Vijimambo

AFRICA UNION WAMUAGA BALOZI AMINA SALUM ALI, WASHINGTON, DC

Blaozi wa Umoja wa Afrika Mhe. Amina Salum Ali akiwahutubia wafanyakazi na wageni waalikwa waliofika kwenye ghafla ya kuagwa kwake iliyofanyika siku ya Jumatatu, Aug 31, 2015 Washington, DC. Diaspora wakipata picha ya kumbukumbu na Balozi Amina Salum Ali. Mhe. Tete Antoni Balozi wa Umoja wa Afrika New York akitoa hotuba yake ya kumuaga Balozi Amina Salum Ali ambaye amemaliza muda wake kama Balozi wa Umoja wa Afrika Washington, DC.Picha ya pamoja
 Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Afrika...

 

9 years ago

Vijimambo

VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA WASHINGTON, DC

 Kushoto ni Mtangazaji Voice of America  wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.Bahati Muliga(Kushoto)  Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MKUTANO WA KWANZA WA US-AFRICA SUMMIT YAMEANZA WASHINGTON DC‏

Mhe.Balozi Liberata Mulamula (kulia)akiwa katika picha ya pamoja na Mhe.Balozi Amina Salum Ali,Mwakilishi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani (kushoto)na Mhe. Linda Thomas Green- Field,Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani anaeshughulikia masuala ya Afrika (katikati)
Mhe.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani