VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA WASHINGTON, DC
![](http://img.youtube.com/vi/_w5UkvLmH4Q/default.jpg)
Kushoto ni Mtangazaji Voice of America wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.
Bahati Muliga(Kushoto) Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo inalipa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Oct
VOA Africa 54 yafanya mahojiano na mama shujaa wa chakula jijini Washington DC
Kushoto ni Mtangazaji Voice of America wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa kuhusiana na Shindano la Mama shujaa wa chakula na Jinsi linavyo wasaidia wakulima hasa wanawake.
Bahati Muliga (Kushoto) Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa tatu, shindano linaloandaliwa na Oxfam kupitia Kampeni yake ya Grow ambapo kauli mbiu yao ni Wekeza kwa Wakulima wadogo wadogo...
9 years ago
MichuziVOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE YUPO WASHINGTON DC KWA AJILI YA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.
9 years ago
VijimamboMAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 BAHATI MURIGA KUHUDHURIA MKUTANO WA SIKU YA CHAKULA DUNIANI WASHINGTON DC
9 years ago
MichuziMAMA SHUJAA WA CHAKULA BI. BAHATI MURIGA AHUDHURIA TAFRIJA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON DC
Ubalozi wa Tanzania Washington DC ulipata ugeni wa wasau kutoka mashirika mbalimbali waliokuja kuungana na Oxfam America inayoandaa Siku...
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Mama Shujaa wa Chakula 2013 aula
10 years ago
Michuzi18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015
akizungumza na waandishi wa habari mmoja wa majaji waliohusika katika zoezi la kusahihisha fomu za washiriki, Zephania Mugittu alisema kuwa idadi ya washiriki...
11 years ago
Habarileo11 Jan
Grow yatua Mwanza kumsaka Mama Shujaa wa Chakula
KAMPENI ya Grow inayotetea haki ya chakula na uzalishaji imetua jijini Mwanza kwa ajili ya kuhamasisha wanawake wakulima na wafugaji kujitokeza na kujaza fomu za kushiriki shindano la Mama Shujaa wa Chakula.
10 years ago
VijimamboWASHIRIKI 18 WATAJWA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015