Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mahojiano na waasisi wa Jabali Afrika

Wawili kati ya waanzilishi wa JABALI AFRIKA, Justo Asikoye na Joseck Asikoye walipata fursa ya kutembelea Kilimanjaro Studio zilizopo Beltsville Maryland na kuzungumza na Mubelwa Bandio na Dj Luke Joe kuhusu kazi zao
Ilikuwa ni katika kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinachosikika kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki
KARIBU

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JABALI AFRICA YATIKISA WASHINGTON, DC

Wanamuziki wa bendi wanaoishi DMV na wanaounda kundi la bendi ya Jabali Africa wenye asili ya Kenya siku ya Jumamosi Julai 15, kundi hilo lilitumbuiza katikati ya jiji la Washington, DC na kukusana  watu na wengi wakiwa Vijana wa zamani.Mwanamuziki aliyewahi kuvuma miaka ya nyuma Sam Mapangala akiimba wimbo wa vunja mifupa ambao ndio uliokua chaguo la wengi.Wadau wakichea wakati Bendi ya Jabali Africa ilipokua ikitumbuiza.Wadau wakiendelea kusakata RhumbaWadau wakipata picha na Sam...

 

11 years ago

Habarileo

Waasisi Zanzibar watoa ya moyoni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein (katikati) akiungana na viongozi, wananchi katika kisomo cha hitma iliyosomwa jana Ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar. Wengine ni Rais Jakaya Kikwete, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume, Makamu wa Rais wa Tanzania Dk Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi. (Picha na Ramadhan Othman).MKE wa marehemu Abeid Amaan Karume, Mama Fatma Karume aliwataka vijana kuyaenzi Mapinduzi ya mwaka 1964 kwa kuacha chuki za ukabila, kidini ambazo zinaweza kuleta mgawanyiko wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Habarileo

‘Wanaotukana waasisi wapimwe akili’

Anna AbdallahMJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah amesema mtu yeyote anayewatukana waasisi wa Taifa, anapaswa kupimwa akili.

 

11 years ago

Mwananchi

Rungwe: Wajumbe tusiwakwaze waasisi

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Hashimu Rungwe, amewataka wenzake kufanya uamuzi kwa hekima ili kulinda hadhi za waasisi wa Muungano.

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu: Walipotelea wapi waasisi wa Muungano

Serikali imetakiwa kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ni ukosefu wa adabu kuwatukana waasisi wa Tanzania — JK

Untitled

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kuwa baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli Waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amaan Karume.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa viongozi hao wawili wameifanyia Tanzania mambo mengi, mambo makubwa na mambo ya kihistoria kiasi cha kwamba Watanzania wanao wajibu wa kudumisha na kuenzi heshima yao kwa namna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani