Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni ukosefu wa adabu kuwatukana waasisi wa Tanzania — JK

Untitled

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kuwa baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli Waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amaan Karume.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa viongozi hao wawili wameifanyia Tanzania mambo mengi, mambo makubwa na mambo ya kihistoria kiasi cha kwamba Watanzania wanao wajibu wa kudumisha na kuenzi heshima yao kwa namna...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kikwete: Ni utovu wa nidhamu kuwatukana waasisi wa Taifa

Rais Jakaya Kikwete amesema ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu unaoonyeshwa na baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume.

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA MCHEZO WA BAO TANZANIA LA LAANI VIKALI WANASIASA WANAO WAKASHFU WAASISI WA MUUNGANO

Na Sixmund J. Begashe wa Makumbusho ya Taifa.
Shirikisho la Mchezo wa Bao Tanzania limelaani vikali wanasiasa wanao simama na kutoa maneno ya kejeli zidi ya waasisi wa Muungano wa Tanzania Bara na Visiwani kwani huko ni kutokuwa na maadili yenye sura alisi ya Utanzania.
Hayo yamesemwa na Raisi wa shirikisho hilo Bw Monday Likwepa kwenye Mashindano ya Mchezo maalum wa Bao wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania Bara na Visiwani yanayo fanyika Makumbusho na Nyumba ya...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA KUPAMBANA NA UKOSEFU WA LISHE BORA

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisalimiana na mwakilishi kutoka UNICEF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.  Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum akisikiliza kwa makini hoja iliyokuwa ikitolewa na mwakilishi kutoka CIFF katika mkutano wa Lishe mjini Washington DC.

 Wajumbe kutoka nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya ( hayupo kwenye picha) alipokuwa akiwasilisha mada na kuchangia hoja mbalimbali katika mkutano uliohusu Lishe bora kwa mtoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukosefu wa dawa kuathiri afya Tanzania

Sekta ya afya ya umma nchini Tanzania iko katika hatari ya kukosa dawa muhimu kutokana na bohari kusitisha usambazaji

 

9 years ago

StarTV

 Tanzania yatishiwa na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa ukosefu wa bajeti.

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoendelea duniani inayokabiliwa na athari kubwa zinazosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa duniani, huku ikiwa haina bajeti mahususi ya kukabiliana na tishio hilo, hatua inayopelekea athari zake sasa kuanza kuonekana dhahiri.

Pamoja na kuwepo kwa fungu dogo la fedha zinazotolewa na Serikali za kukabiliana na athari hizo, bado kuna tatizo la mfumo duni wa ufuatiliaji, hali inayowafaya wadau kuitaka Serikali kulitazama upya suala hilo la bajeti.

Madhara...

 

10 years ago

GPL

JB: JESHI LILINITIA ADABU!

Staa wa Bongo Movie, Jacob Steven Mbura ‘JB’. JACOB Steven Mbura ‘JB’ anaendelea kusimulia historia ya maisha yake tangu utotoni hadi sasa. Ni simulizi ndefu na tamu isiyochosha kwa vimbwanga na kila aina ya mikasa ya kusisimua na kustaajabisha. Uhondo huu ulianza wiki mbili zilizopita. Kwa wale waliokosa kwa bahati mbaya, tuliweka nukta kwenye kipengele cha safari yake ya shuleni na malezi ya nyumbani,...

 

10 years ago

GPL

NJEMBA ASHIKISHWA ADABU!

Gabriel Ng’osha Shika adabu yako! Njemba mmoja ambaye jina halikufahamika ameshikishwa adabu na wananchi wenye hasira kali baada ya kutembezewa kichapo ‘hevi’ alipokwapua simu ya abiria mwenzake. Kijana huyo aliyedaiwa kuwa kibaka akiwa chini ya ulinzi. Ishu hiyo ilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Mtaa wa Kongo-Kariakoo jijini Dar ndani ya basi la UDA ambapo kijana huyo alidaiwa kukwapua simu hiyo.… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Heshima na adabu ya lugha ya Kiswahili

Mbali na kuwa na lafudhi mbalimbali kwa sababu ya kuwa katika mataifa tofauti, kuna heshima na adabu ya lugha ambayo imeingiliwa na tamaduni ya lugha zingine kama vile Kiingereza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani