‘Wanaotukana waasisi wapimwe akili’
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah amesema mtu yeyote anayewatukana waasisi wa Taifa, anapaswa kupimwa akili.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Apr
Wanaobeza mafanikio ya CCM wapimwe akili
MKUU wa Wilaya ya Rombo, Lebris Kipuyo amesema mtu ambaye anasema CCM haijafanya chochote ana matatizo ya akili na anatakiwa kufikishwa katika Hospitali ya Wagonjwa wa Akili ya Mirembe kupima akili yake.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Wanaong’ang’ania mabondeni wapimwe akili
HAWA wanaong’ang’ania kuishi mabondeni wachunguzwe kwa sababu huenda wakawa wana matatizo ya kiakili. Inabidi iwe hivyo kwa sababu haiwezekani matatizo yanayowakumba wakati wa mvua mara kwa mara, hurudi tena mvua...
9 years ago
Bongo Movies08 Sep
Mwaka Huu Nimewajua Wasanii Waliokuwa na Akili na Wasiokuwa na Akili-Ray
"(FREEDOM OF SPEECH)
Kuna vitu vingi sana nimegunduakwenye uchaguzi wa mwaka huu nimewajua baadhi ya wasanii waliokuwa na akili na wasiokuwa na akili japokuwa nami nawezakuwa mmoja wapo katika hao wasiokuwa na akili. Why nasema hivi na samahani kama nitakuwa nime2mia lugha kali, Unajua nashanga sana sasa hivi kumekuwa na vita baina ya wasanii wanaosapoti (CCM) Na (UKAWA)
Jamani siasa ni democracy kila m2 ana haki yakuwa upande anayeuona yeye unamfaa. Mimi nilidhani badala ya kuwa na...
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Wanaotukana bungeni wamelaaniwa?
KABLA ya yote, nilitamani viongozi wa dini waliopo ndani ya Bunge Maalumu la Katiba akiwemo Askofu mstaafu Donald Mtetemela, Mchungaji Getrude Lwakatare na wengine, wangetafakari maandiko haya na kwanini wanalaani...
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Tunapoua akili asilia na kukimbilia akili bandia
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wanaotukana, kutumia vibaya mitandao kukiona
WIZARA ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia imeamua kudhibiti wanaotumia vibaya mitandao kwa kuweka picha zisizo na maadili kwa jamii, wanaotumia lugha ya matusi na wanaoiba kupitia mitandao.
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Wenger ataka wachezaji wapimwe vizuri
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Mawaziri wapya wapimwe kwa muda
KAMA kuna uteuzi ambao unasubiriwa kwa hamu kufanywa na Rais Dk.
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi18 Feb
TCIB: Wagombea uchaguzi wapimwe afya