Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rungwe: Wajumbe tusiwakwaze waasisi

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Hashimu Rungwe, amewataka wenzake kufanya uamuzi kwa hekima ili kulinda hadhi za waasisi wa Muungano.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Waasisi Zanzibar watoa ya moyoni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein (katikati) akiungana na viongozi, wananchi katika kisomo cha hitma iliyosomwa jana Ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar. Wengine ni Rais Jakaya Kikwete, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume, Makamu wa Rais wa Tanzania Dk Bilal, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi. (Picha na Ramadhan Othman).MKE wa marehemu Abeid Amaan Karume, Mama Fatma Karume aliwataka vijana kuyaenzi Mapinduzi ya mwaka 1964 kwa kuacha chuki za ukabila, kidini ambazo zinaweza kuleta mgawanyiko wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Vijimambo

Mahojiano na waasisi wa Jabali Afrika

Wawili kati ya waanzilishi wa JABALI AFRIKA, Justo Asikoye na Joseck Asikoye walipata fursa ya kutembelea Kilimanjaro Studio zilizopo Beltsville Maryland na kuzungumza na Mubelwa Bandio na Dj Luke Joe kuhusu kazi zao
Ilikuwa ni katika kipindi cha MISHUMAA YA KALE kinachosikika kila Ijumaa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki
KARIBU

 

11 years ago

Habarileo

‘Wanaotukana waasisi wapimwe akili’

Anna AbdallahMJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Anna Abdallah amesema mtu yeyote anayewatukana waasisi wa Taifa, anapaswa kupimwa akili.

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu: Walipotelea wapi waasisi wa Muungano

Serikali imetakiwa kutoa maelezo bungeni, kuhusu sababu za kuuawa kwa waasisi sita wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wanaodaiwa kuzikwa katika handaki moja Zanzibar.

 

11 years ago

Dewji Blog

Ni ukosefu wa adabu kuwatukana waasisi wa Tanzania — JK

Untitled

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kuwa baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli Waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere na Hayati Sheikh Abeid Amaan Karume.

Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa viongozi hao wawili wameifanyia Tanzania mambo mengi, mambo makubwa na mambo ya kihistoria kiasi cha kwamba Watanzania wanao wajibu wa kudumisha na kuenzi heshima yao kwa namna...

 

11 years ago

Mwananchi

Waasisi wetu walivyoteleza kuhusu ardhi

Nianze kwa kuweka wazi kuwa mimi ni muumini wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Uwe wa Serikali moja, mbili au tatu nisingependa kuuona ukivunjika.

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA BODI YA WAASISI

Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, sheria namba 18 ya mwaka 2004 ya kuwaenzi waasisi wa Taifa. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi nyumbani kwake Mbweni, huku wajumbe wengine wakishuhudia. Makamu...

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli na ufisadi, waasisi wakionea aibu

“SIMMONILE ndiye mtawala mkuu (paramount chief) wa jamii ya kabila la Wanyakyusa, katika kizazi c

Felix Mwakyembe

 

10 years ago

Habarileo

SMZ yahakikisha ushirikiano Mfuko wa Waasisi wa Taifa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania ziko tayari kushirikiana na Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Kuwaenzi Waasisi wa Taifa kutokana na mchango wao mkubwa kwa Taifa hili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani