Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yahakikisha ushirikiano Mfuko wa Waasisi wa Taifa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania ziko tayari kushirikiana na Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Kuwaenzi Waasisi wa Taifa kutokana na mchango wao mkubwa kwa Taifa hili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif akutana na wanabodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi pamoja na ujumbe wake, nyumbani kwake MbweniMwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, sheria namba 18 ya mwaka 2004 ya kuwaenzi waasisi wa...

 

5 years ago

Michuzi

Ushirikiano Serikali ya SMT na SMZ wazidi kupaa

Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Zanzibar
Katika kuimarisha Muungano Serikali ya Tanzania Bara  na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika  Sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo zimeendelea kutekeleza vizuri maeneo ya ushirikiano ambayo yameridhiwa na pande hizo.
Hayo yamebainika leo visiwani Zanzibar katika Kikao cha Wataalam wa Sekta hizo kutoka pande mbili za serikali wakati walipokuwa wakijadili utekelezaji wa maazimio yaliyoridhiwa na Mawaziri wanaosimamia sekta hizo mwezi julai 2019...

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete: Ni utovu wa nidhamu kuwatukana waasisi wa Taifa

Rais Jakaya Kikwete amesema ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu unaoonyeshwa na baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE, HAJI WA SMZ WAONGOZA MKUTANO WA USHIRIKIANO WA WIZARA ZAO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...

 

5 years ago

Michuzi

DAWASA YAHAKIKISHA USALAMA KWA WAFANYAKAZI WAKE KUJIKINGA NA COVID-19

Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani  DAWASA wamechukua tahadhari kwa wafanyakazi dhidi ya Maambukizi ya homa ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona.
Dawasa wamechukua tahadhari hiyo kwa kuwapatia wafanyakazi wake wakiwemo mafundi wa maeneo mbalimbali vifaa vya kuwakinga ikiwemo Barakoa ili wavae muda wote wakiwa katika majukumu yao.
Hatua hiyo ni muhimu katika kutii agizo la serikali kwa kuvaa barakoa  ili kuweza kujikinga, kupunguza...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA UMEPIGA HATUWA KUBWA

Mkurugenzi wa Matibabu na Huduma za kiufundi Dr. Frank Lekey akizugumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya miaka kumi ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania,Dokta Jakaya Kikwete, Mfuko umepiga hatua kubwa ya maendeleo, idadi ya wanachama wachangiaji 640,341 na idadi ya wanufaika ni 3,237,434 kikao hicho kimefanyika leo jiji Dar es Salaam
 Waandishi wa habari wa kimsikiliza  Mkurugenzi wa Matibabu na Huduma za kiufundi Dr. Frank Lekey kikao hicho kimefanyika leo jiji...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MKOANI TABORA

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF nchini Balozi Ali Mchumo akizungumza na Wadau wa mfuko huo ambapo alisema NHIF imekusudia kuboresha mfuko huo ili kuondoa kero kwa wanachama  hususani upatikanaji wa dawa. Mgeni rasmi katika Mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Tabora Bw.Elibariki Kingu ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Tabora,Mkutano uliofanyika katikaukumbi wa Isike Mwanakiyungi ambapo wadau walikuwa wakijadili Changamoto mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

Kamati Tendaji ya Taifa ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF, yazuru Kibaha, Pwani.

 Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,LadislausMwamanga (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juu ya utekelezaji wa Mpango wa KunusuruKaya Masikinikwa walengwa wa Mpango huo (hawapo pichani).
 Mkurugenzi Mtendajiwa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Tatu Seleman (mwenye miwani) akiangalia moja ya mikeka iliyosukwa na walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya masikini,PSSN, katika kijiji cha Vikuge kama njia mojawapo ya kukuza kipato cha wananchi.

 Walengwa wa Mpango wa kunusurukaya masikinikatika...

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA KUSHIRIKI KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2014

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unawakaribisha wanachama na wananchi wote kwa ujumla katika banda lake kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuanzia tarehe 16 hadi 23/06/2014.

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya utatoa huduma zifuatazo;-
• Elimu kwa Umma juu ya Huduma za NHIF na CHF/TIKA
• Usajili wa wanachama 
• Upimaji wa afya bure kwa wanachama na wananchi wengine na vipimo vitakavyotolewa ni;-
1. Kisukari,
2. Shinikizo la damu, 
3. Hali Lishe
4. Saratani ya matiti.
5. Ushauri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani