Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushirikiano Serikali ya SMT na SMZ wazidi kupaa

Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Zanzibar
Katika kuimarisha Muungano Serikali ya Tanzania Bara  na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika  Sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo zimeendelea kutekeleza vizuri maeneo ya ushirikiano ambayo yameridhiwa na pande hizo.
Hayo yamebainika leo visiwani Zanzibar katika Kikao cha Wataalam wa Sekta hizo kutoka pande mbili za serikali wakati walipokuwa wakijadili utekelezaji wa maazimio yaliyoridhiwa na Mawaziri wanaosimamia sekta hizo mwezi julai 2019...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ruvuma wazidi kupaa kwa kilimo

Mkoa wa Ruvuma umepata mafanikio makubwa katika sekta ya kilimo katika msimu wa 2012/13.

 

10 years ago

Habarileo

SMZ yahakikisha ushirikiano Mfuko wa Waasisi wa Taifa

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Tanzania ziko tayari kushirikiana na Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Kuwaenzi Waasisi wa Taifa kutokana na mchango wao mkubwa kwa Taifa hili.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE, HAJI WA SMZ WAONGOZA MKUTANO WA USHIRIKIANO WA WIZARA ZAO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akimfafanulia jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Omar Kheri (kushoto-meza kuu) pamoja na Maofisa wa Watendaji wa wizara hiyo na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wa mkutano wa ushirikiano wa wizara hizo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es Salaam leo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ya Muungano, SMZ zaanika mafanikio ya Ilani

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.SERIKALI za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, zimefanikiwa kwa kiwango kikubwa kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kipindi cha miaka mitano iliyopita na hivyo kukuza na kuboresha maisha ya wananchi wa pande zote za Muungano.

 

10 years ago

Mtanzania

Maaskofu wazidi kuibana Serikali

Aakofu NgalalekumtwaASKOFU ALEX MALASUSANa Esther Mbusi Dar es Salaam na Fredy Azzah, Dodoma

JUKWAA la Wakristo Tanzania (TCF), limeendelea kushikilia msimamo wake wa kuwashinikiza waumini kuipigia kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.
Limesema Katiba Inayopendekezwa imefika hapo ilipo kwa njia ya ubabe na kukosa uadilifu. Tamko la umoja huo lililotolewa jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk. Alex Malasusa, Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Tarcisius...

 

10 years ago

Mwananchi

Maaskofu wazidi kuikaba koo Serikali

>Viongozi wa dini wamezidi kuikaba koo Serikali kuhusu kashfa ya Escrow na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

5 years ago

CCM Blog

DKT. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ) INATEKELEZA HAKI ZA BINAADAMU KWA KUTOA AFYA NA ELIMU BURE

  Na.Mwandishi Wetu-MAELEZORais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali inatekekeleza utawala bora kwa wananchi kwa kuwapatia huduma za jamii zikiwemo elimu na  afya zinazotolewa bure.
 Akizungumza alipokutana na ujumbe wa watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Ikulu Zanzibar, Dkt. Shein alisema kuwa Serikali inatakeleza kwa vitendo dhana ya utawala bora ikiwa ni utekelezaji wa dhana iliyoasisiwa na Hayati. Abeid...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Inatekeleza Haki za Binadamu Kwa Kutoa Afya na Elimu Bure- Dkt.Shein


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (hawapo pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (pichani), walipomtembelea Ofisini kwake Ikulu Zanzibar, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuendeleza ushirikiano na NHIF

Serikali imesema itaendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hususan za kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo pamoja na Mfuko wa Afya wa Jamii (CHF) ili wanufaike na huduma za matibabu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani