Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maaskofu wazidi kuikaba koo Serikali

>Viongozi wa dini wamezidi kuikaba koo Serikali kuhusu kashfa ya Escrow na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Mtanzania

Maaskofu wazidi kuibana Serikali

Aakofu NgalalekumtwaASKOFU ALEX MALASUSANa Esther Mbusi Dar es Salaam na Fredy Azzah, Dodoma

JUKWAA la Wakristo Tanzania (TCF), limeendelea kushikilia msimamo wake wa kuwashinikiza waumini kuipigia kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.
Limesema Katiba Inayopendekezwa imefika hapo ilipo kwa njia ya ubabe na kukosa uadilifu. Tamko la umoja huo lililotolewa jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk. Alex Malasusa, Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Tarcisius...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa, CCM wazidi kukabana koo uchaguzi wa marudio

Matokeo ya uchaguzi wa marudio wa viongozi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi yameonyesha kuwa pamoja na CCM kuendelea kuongoza, chama hicho tawala kimepoteza viti katika maeneo kadhaa.

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri ‘mizigo’ wazidi kukabwa koo bungeni Dodoma

Baraza la mawaziri limeendelea kuwashiwa moto bungeni, baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kulitaka Bunge  kuwang’oa mawaziri walioshindwa kuwajibika.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali, Bunge wakabana koo

Kumekuwa na mvutano mkubwa katika vikao vya mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti, ambao pamoja na mambo mengine unaelezwa kuchangiwa na hatua ya Serikali kukataa kuweka wazi vyanzo vya mapato kwa wajumbe wa kamati hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto aikaba koo Serikali mapato ya Tanzanite soko la nje

 Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe leo imeikaba koo Serikali na kutaka itoe majibu ya kina kuhusu mapato yatokanayo na mauzo ya madini ya Tanzanite katika soko la nje.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maaskofu waikosoa serikali Eritrea

Maaskofu 4 wa kanisa katoliki ,wameandika barua inayokosoa mfumo wa maisha nchini humo, hatua ambayo inaonekana kama ya kishujaa ndani ya nchi ambayo haina uhuru wa kujieleza

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yawapa ufafanuzi maaskofu wa Kipentekoste

SERIKALI haikuwa na nia ya kuwabagua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba. Imesema uchunguzi uliofanywa, umethibitisha Baraza hilo halikufikisha mapendekezo yake panakohusika.

 

5 years ago

Michuzi

MAASKOFU ANGLIKANA WAITAKA JAMII KUUNGANA NA JUHUDI ZA SERIKALI KUKABILIANA NA COVD_19


Askofu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt.Mahimbo Mndolwa akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha

Na Ahmed Mahmoud Arusha

Katika kukabiliana na ugonjwa wa corona nchini ,kanisa la Anglikana limetangaza kuongeza ibada zake katika makanisa yake yote ili kuondoa msongamano ambao ungeweza kusababisha maambukizi zaidi ya ugonjwa huo.

Akitoa tamko hilo jijini Arusha mbele ya maskofu 28 wa dayosisi za kanisa hilo, Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani