Serikali, Bunge wakabana koo
Kumekuwa na mvutano mkubwa katika vikao vya mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti, ambao pamoja na mambo mengine unaelezwa kuchangiwa na hatua ya Serikali kukataa kuweka wazi vyanzo vya mapato kwa wajumbe wa kamati hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 May
Ukawa, CCM wakabana koo bungeni
Dodoma. Mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2015/16 katika kikao cha pili cha mkutano wa 20 wa Bunge la 10, umetekwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, huku wabunge kutoka vyama vya upinzani wakihakikisha wanatumia neno “Serikali imechoka†kila wanaposimama kuchangia, huku wa CCM wakiitetea na kutamba kuibuka na ushindi wa kishindo.
9 years ago
Raia Mwema21 Oct
Msigwa, Mwakalebela wakabana koo Iringa
KAMA ilivyo kwa Mbeya Mjini, Jimbo la Iringa Mjini nako ni mapambano kati ya Mgombea wa CCM, Davi
Mwandishi Wetu
9 years ago
Mwananchi27 Oct
CCM, Ukawa wakabana koo udiwani
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi yanayoonyesha kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetwaa ushindi katika kata nyingi na hivyo kustahili kuongoza halmashauri za miji huku kikifuatiwa kwa karibu na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
10 years ago
Mwananchi11 Dec
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Maaskofu wazidi kuikaba koo Serikali
>Viongozi wa dini wamezidi kuikaba koo Serikali kuhusu kashfa ya Escrow na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Zitto aikaba koo Serikali mapato ya Tanzanite soko la nje
 Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe leo imeikaba koo Serikali na kutaka itoe majibu ya kina kuhusu mapato yatokanayo na mauzo ya madini ya Tanzanite katika soko la nje.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qR3mZchJ2j4/VMzw1eLqr0I/AAAAAAAHAjQ/YXv1dH0-69E/s72-c/1.jpg)
Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.
Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.Taarifa za Kamati...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yNZmJ19nHPI/U5q8yWo2WBI/AAAAAAAFqTI/C7wIacKNYF0/s72-c/unnamed+(83).jpg)
KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-yNZmJ19nHPI/U5q8yWo2WBI/AAAAAAAFqTI/C7wIacKNYF0/s1600/unnamed+(83).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4ouihL5xM_w/U5q83LeHuCI/AAAAAAAFqTg/8xPEzL_8dm0/s1600/unnamed+(80).jpg)
11 years ago
Mwananchi10 May
Amatre aikaba koo Simba
>Aliyewahi kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Mganda Richard Amatre amewasilisha rasmi barua ya malalamiko kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akiidai klabu hiyo Sh17.2 Milioni.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania