Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa, CCM wakabana koo bungeni

Dodoma. Mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2015/16 katika kikao cha pili cha mkutano wa 20 wa Bunge la 10, umetekwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, huku wabunge kutoka vyama vya upinzani wakihakikisha wanatumia neno “Serikali imechoka” kila wanaposimama kuchangia, huku wa CCM wakiitetea na kutamba kuibuka na ushindi wa kishindo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM, Ukawa wakabana koo udiwani

Matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi yanayoonyesha kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetwaa ushindi katika kata nyingi na hivyo kustahili kuongoza halmashauri za miji huku kikifuatiwa kwa karibu na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Mwananchi

11 years ago

Mwananchi

Serikali, Bunge wakabana koo

Kumekuwa na mvutano mkubwa katika vikao vya mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti, ambao pamoja na mambo mengine unaelezwa kuchangiwa na hatua ya Serikali kukataa kuweka wazi vyanzo vya mapato kwa wajumbe wa kamati hiyo.

 

9 years ago

Raia Mwema

Msigwa, Mwakalebela wakabana koo Iringa

KAMA ilivyo kwa Mbeya Mjini, Jimbo la Iringa Mjini nako ni mapambano kati ya Mgombea wa CCM, Davi

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa, CCM wazidi kukabana koo uchaguzi wa marudio

Matokeo ya uchaguzi wa marudio wa viongozi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi yameonyesha kuwa pamoja na CCM kuendelea kuongoza, chama hicho tawala kimepoteza viti katika maeneo kadhaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘CCM wasisherehekee UKAWA kutoka bungeni’

SIKU moja baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na kauli za chuki, wananchi na vyama vya upinzani...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawaziri ‘mizigo’ wazidi kukabwa koo bungeni Dodoma

Baraza la mawaziri limeendelea kuwashiwa moto bungeni, baada ya Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (CCM), kulitaka Bunge  kuwang’oa mawaziri walioshindwa kuwajibika.

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM yakabwa koo na Chadema Singida

DSC02687

Msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ikungi, Mohammed Nkya, akitoa matokeo ya uchaguzi wa serikali ya vijiji uliofanyika Jumapili iliyopita kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). (Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Ikungi

CHAMA cha maendeleo na demokrasia (CHADEMA) kimeshinda nafasi za uenyekiti wa vijiji 49 na kinafuatiwa kwa karibu na CCM iliyopata vijiji 41,wakati CUF imeambulia vijiji vinne.

Halmashauri mpya ya Ikungi ina...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM Dar yaikaba koo Tume ya Uchaguzi

Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia kwa makini uandikishaji wapigakura jijini hapa ili wakazi wote wapate fursa ya kuandikishwa, ndani ya muda uliopangwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani