Nec na ukawa wakabana koo Uchaguzi Serikl za Mitaa
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Oct
CCM, Ukawa wakabana koo udiwani
Matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi yanayoonyesha kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetwaa ushindi katika kata nyingi na hivyo kustahili kuongoza halmashauri za miji huku kikifuatiwa kwa karibu na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
10 years ago
Mwananchi14 May
Ukawa, CCM wakabana koo bungeni
Dodoma. Mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2015/16 katika kikao cha pili cha mkutano wa 20 wa Bunge la 10, umetekwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, huku wabunge kutoka vyama vya upinzani wakihakikisha wanatumia neno “Serikali imechoka†kila wanaposimama kuchangia, huku wa CCM wakiitetea na kutamba kuibuka na ushindi wa kishindo.
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Serikali, Bunge wakabana koo
Kumekuwa na mvutano mkubwa katika vikao vya mashauriano kati ya Serikali na Kamati ya Bunge ya Bajeti, ambao pamoja na mambo mengine unaelezwa kuchangiwa na hatua ya Serikali kukataa kuweka wazi vyanzo vya mapato kwa wajumbe wa kamati hiyo.
10 years ago
Raia Mwema21 Oct
Msigwa, Mwakalebela wakabana koo Iringa
KAMA ilivyo kwa Mbeya Mjini, Jimbo la Iringa Mjini nako ni mapambano kati ya Mgombea wa CCM, Davi
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Ukawa, CCM wazidi kukabana koo uchaguzi wa marudio
Matokeo ya uchaguzi wa marudio wa viongozi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi yameonyesha kuwa pamoja na CCM kuendelea kuongoza, chama hicho tawala kimepoteza viti katika maeneo kadhaa.
10 years ago
Mwananchi16 Dec
NEC kusimamia uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa
Kilio cha wadau wa uchaguzi kimesikika hatimaye, baada ya Serikali kutangaza nia yake ya kuufanya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 kusimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
10 years ago
Habarileo05 Nov
Ukawa kushirikiana uchaguzi wa mitaa
VYAMA vya Siasa vinavyounda Umoja wa Katiba (Ukawa) vimesaini muongozo wa ushirikiano katika kugombea serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
11 years ago
Habarileo27 Sep
Ukawa wajipanga uchaguzi Serikali za Mitaa
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimehimizana kushirikiana na kuja na nguvu ya pamoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Pinda: Ukawa imeuweka njiapanda uchaguzi mitaa
>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema hatima ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utategemea uamuzi wa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurejea katika Bunge Maalumu kuipitisha Katiba Mpya kwa wakati.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania