NEC kusimamia uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa
Kilio cha wadau wa uchaguzi kimesikika hatimaye, baada ya Serikali kutangaza nia yake ya kuufanya uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 kusimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s72-c/MMGM8382.jpg)
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s1600/MMGM8382.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nhubQhZpWwc/U8kYyb0ubPI/AAAAAAAF3Yc/vWolIRDUZ5Q/s1600/MMGM8396.jpg)
9 years ago
VijimamboNEC YAWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUTOKUWA NA UPANDE WAKATI WA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
9 years ago
MichuziNEC YAWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUTOKUWA NA UPANDE WAKATI WA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j0RDaybMzfI/VLw55EC4jxI/AAAAAAAG-Og/GasBT-RQtrU/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-j0RDaybMzfI/VLw55EC4jxI/AAAAAAAG-Og/GasBT-RQtrU/s1600/images.jpg)
Na Bashir YakubWiki iliyopita niliandika kuhusu Asilimia kumi ambayo serikali za mitaa huwa wanaidai hasa maeneo ya mijini baada ya wahusika kuwa wameuziana nyumba au kiwanja. Nikasema wazi kabisa bila kungata meno kuwa hiyo pesa iitwayo asilimia kumi au pesa nyingine yoyote mtu atakayolipa serikali za mitaa eti kwakuwa amenunua au ameuza eneo lake ni rushwa. Na leo nakumbusha na kusisitiza tena kuwa Watanzana wajue ukitoa pesa ile umetoa ...
10 years ago
Mwananchi11 Dec
10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s72-c/HAWA%2BGHASIA.jpg)
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s1600/HAWA%2BGHASIA.jpg)
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Maajabu uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Waandishi Wetu, Dar na Mwanza
HAYA ni maajabu. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wapiga katika kituo cha Shule ya Msingi Mwenge, Kinondoni jijini Dar es Salaam kufika kituoni na kukuta majina yao yakionyesha tayari wamepiga kura.
Hali hiyo, ilisababisha kuibuka vurugu kubwa ambazo zilisababisha upigaji kura katika uchaguzi huo wa marudio, kusitishwa kwa muda.
Msimamizi wa uchaguzi katika kituo hicho, Nasoro Kichuma alisema uchaguzi huo ulianza vizuri, lakini kadrii muda ulivyozidi kwenda...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa walalamikiwa