Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘CCM wasisherehekee UKAWA kutoka bungeni’

SIKU moja baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na kauli za chuki, wananchi na vyama vya upinzani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukawa, CCM wakabana koo bungeni

Dodoma. Mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu mwaka 2015/16 katika kikao cha pili cha mkutano wa 20 wa Bunge la 10, umetekwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, huku wabunge kutoka vyama vya upinzani wakihakikisha wanatumia neno “Serikali imechoka” kila wanaposimama kuchangia, huku wa CCM wakiitetea na kutamba kuibuka na ushindi wa kishindo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kusimamisha mgombea kutoka CCM?

BABA wa Taifa hayati Julius Nyerere, aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utakaokiondosha madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), utatoka ndani ya chama hicho. Wakati akitoa kauli hiyo, alijua fika kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

CCM yakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa UKAWA

Watu wamejitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Tanzania unaotajwa kuwa na ushindani mkubwa huku muungano mpya

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi Kutoka UKAWA Wajiunga na Kampeni za CCM

<span 1.6em;"="">Zikiwa zimebaki takribani siku 39 kuelekea siku ya Kupiga kura. Wasanii wawili wa tasnia ya Maigizo waliokuwa katika Kampeni za Mh Edward Lowassa wa CHADEMA ghafla wameamia kwenye Kampeni za Mh John P. Magufuli wa CCM.

Hii imethibitishwa na mmoja wa wasanii hao, yaani Anti Ezekiel kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter.      (Auntezeofficial)

Ni stori ya kisiasa ambayo ilianza kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu wasanii wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA: Haturudi bungeni

WAJUMBE  wa Bunge Maalumu, wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wamesema hawatarudi bungeni na badala yake kuanzia kesho wataanza mikutano ya hadhara nchi nzima kuwaeleza wananchi juu ya hila...

 

11 years ago

Habarileo

'Ukawa warudi bungeni'

MWENYEKITI wa Chama Cha Kijamii (CCK) na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Constantine Akitanda amesema juhudi zao walizoanzisha na chama cha NRA, zimelenga kuhakikisha kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanarejea bungeni.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘UKAWA rudini bungeni’


NA FRANK KIBIKI, IRINGA
BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limeitaka serikali kuhakikisha wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanarejea bungeni bila masharti.
Limesema Bunge Maalumu la Katiba lipo na linaendeshwa kwa mujibu wa sheria hivyo, wajumbe wanapaswa kurejea pindi litakapoanza vikao vyake ili kuutendea haki mchakato wa Katiba Mpya.
Hata hivyo, limeonya kuwa iwapo wataendelea kukaidi,  wananchi wasiwachague tena kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwani, watakuwa wameshindwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. 30 za sekeseke la Ukawa bungeni

UPINZANI KUONDOKA-4*Zomea zomea yao yawatia joto viongozi

*Waimba Maalim Seif…Maalim Seif…Maalim Seif

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

WABUNGE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), jana walichafua hali ya hewa bungeni baada ya kuwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa Bunge la 11.

Tukio hilo la kwanza katika Bunge hilo lililoanza Novemba 17, mwaka huu na kuahirishwa jana hadi Januari 26 mwaka 2016, lilianza jana saa 9:35, zikiwa ni dakika chache...

 

11 years ago

Habarileo

Ukawa waumbuana Bungeni

TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa mara, imewatokea puani. Jana baadhi ya wajumbe hao akiwepo Ismail Jussa Ladhu, Tundu Lisu, John Mnyika na Moses Machali, walisimama kupinga marekebisho ya kanuni za Bunge Maalumu kwa madai kuwa yameletwa haraka haraka na yana nia ovu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani