Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA kusimamisha mgombea kutoka CCM?

BABA wa Taifa hayati Julius Nyerere, aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utakaokiondosha madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), utatoka ndani ya chama hicho. Wakati akitoa kauli hiyo, alijua fika kuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ukawa waazimia kusimamisha mgombea mmoja

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wametoa tamko rasmi la kuungana na kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi zote kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu wa rais na wabunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa kusimamisha mgombea urais 2015

>Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeanza maandalizi ya kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais, gazeti hili limebaini.

 

10 years ago

GPL

KIKWAZO CHA UKAWA KUSIMAMISHA MGOMBEA MMOJA WA URAIS

Prof. Ibrahim Lipumba. Stori: mwandishi wetu
PRESHA  inazidi kuongezeka kila kukicha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015 ambapo sarakasi mbalimbali za kisiasa zinaendelea kuchezwa na wafuasi wa vyama vyote bila kujali chama tawala au vyama vya upinzani. Uwazi Mizengwe limebaini kuwa macho na masikio ya wengi, yameelekezwa kwenye muungano wa vyama vinne vya kisiasa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mgombea wa UKAWA wa 2015 atishia CCM

KAULI iliyotolewa na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuwa watamsimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya Urais, baadhi ya makada wa CCM wameanza kuhofia. Vyanzo vya kuaminika vya...

 

9 years ago

StarTV

Mgombea ccm avuna wanachama wa ukawa

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefanikiwa kupenya ngome ya UKAWA baada ya kuvuna wanachama kutoka matawi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kile cha wananchi (CUF), katika Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam.

Jimbo la Ubungo ni ngome ya UKAWA, na linatetewa na CHADEMA ambacho kililitwaa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, na pia kilishinda mitaa mingi ya jimbo hilo katika uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa.

CCM imepenya ngome hiyo ya UKAWA baada ya mgombea Ubunge wa chama...

 

10 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKISUBIRI JINA LA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA USIKU HUU

 
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Tumaini Makene akizungumza na waandishi habari  hivi punde juu kinachoendelea katika mkutano wa kutafuta mgombea wa Urais kwa tiketi ya UKAWA, uliofanyika katika Hoteli ya Colesseum jijini Dar es Salaam,Makene amesema majadiliano hayo sio urais tu bali kuna mipaka ya majimbo mapya jinsi watavyojipanga katika kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Makene amezidi kuwataka waandishi wawe na subira kusubiri maamuzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘CCM wasisherehekee UKAWA kutoka bungeni’

SIKU moja baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na kauli za chuki, wananchi na vyama vya upinzani...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI YA KUJIMBULISHA YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI KUTOKA CHATO MPAKA DODOMA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha  Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  awasalimie wananchi,awashukuru na kujitambulisha kwa wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni mkoa wa Singida.  Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  akiwasalimia wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni mkoa wa Singida.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe...

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI YA KUJITAMBULISHA YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI KUTOKA CHATO MPAKA DODOMA


 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Rajab Luhwavi akimkaribisha  Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  awasalimie wananchi,awashukuru na kujitambulisha kwa wananchi hao waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni mkoa wa Singida.  Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi CCM Dk.John Pombe Magufuli  akiwasalimia wananchi waliokuwa wamekusanyika kwa wingi nje ya ofisi za CCM Manyoni mkoa wa Singida.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani