Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aunti Ezekiel na Vincent Kigosi Kutoka UKAWA Wajiunga na Kampeni za CCM

<span 1.6em;"="">Zikiwa zimebaki takribani siku 39 kuelekea siku ya Kupiga kura. Wasanii wawili wa tasnia ya Maigizo waliokuwa katika Kampeni za Mh Edward Lowassa wa CHADEMA ghafla wameamia kwenye Kampeni za Mh John P. Magufuli wa CCM.

Hii imethibitishwa na mmoja wa wasanii hao, yaani Anti Ezekiel kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter.      (Auntezeofficial)

Ni stori ya kisiasa ambayo ilianza kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu wasanii wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa UKAWA Lyamgungwe wadai kuvutiwa na utendaji wa Mbunge Mgimwa Kalenga wajiunga CCM

IMG_3649

Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema  kutoka kwa mmoja kati ya  viongozi wa Chadema   kata ya Lyamgungwe  aliyehamia CCM.

Na MatukiodaimaBlog

VIONGOZI  watatu  wa vyama  vinavyounda katiba ya  wananchi (UKAWA) kata ya Lyamgungwe  jimbo la kalenga  wamempongeza mbunge wa  jimbo la hilo Godfrey Mgimwa   kwa  kutekeleza ahadi  mbali mbali  zilizoachwa na marehemu mbunge aliyepita Dr  Wiliam Mgimwa kwa  muda mfupi na kuwa katika  kuonyesha  umoja  wao...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WA UKAWA LYAMGUNGWE WADAI KUVUTIWA NA UTENDAJI WA MBUNGE MGIMWA KALENGA WAJIUNGA CCM‏

Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa Chadema kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCM . Mbunge Mgimwa  akikagua miradi ya maendeleo  jimboni kwake. Wananchi  wa Lyamgungwe  wakiwa  wameongozana na mbunge wake  kwenda kutembelea  miradi ya maendeleo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kusimamisha mgombea kutoka CCM?

BABA wa Taifa hayati Julius Nyerere, aliwahi kusema kuwa upinzani wa kweli utakaokiondosha madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), utatoka ndani ya chama hicho. Wakati akitoa kauli hiyo, alijua fika kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘CCM wasisherehekee UKAWA kutoka bungeni’

SIKU moja baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na kauli za chuki, wananchi na vyama vya upinzani...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mgombea mwenza CCM aupukutisha upinzani Lindi, 61 wajiunga CCM, wamo viongozi

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu. Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

CCM yakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa UKAWA

Watu wamejitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Tanzania unaotajwa kuwa na ushindani mkubwa huku muungano mpya

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake 3 kutoka Pakistan wajiunga na IS

Polisi nchini Pakistan wanasema wanawake watatu wameondoka mji wa Lahore na kwenda kujiunga na wapiganaji wa Islamic State nchini Syria.

 

9 years ago

Michuzi

Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi

.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM pamoja na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja.

Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia Suluhu.Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 
1.    Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani