Maaskofu waikosoa serikali Eritrea
Maaskofu 4 wa kanisa katoliki ,wameandika barua inayokosoa mfumo wa maisha nchini humo, hatua ambayo inaonekana kama ya kishujaa ndani ya nchi ambayo haina uhuru wa kujieleza
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Mar
CCM na Chadema waikosoa taarifa ya Mdhibiti Mkuu wa Serikali
10 years ago
Mtanzania01 Apr
Maaskofu wazidi kuibana Serikali
Na Esther Mbusi Dar es Salaam na Fredy Azzah, Dodoma
JUKWAA la Wakristo Tanzania (TCF), limeendelea kushikilia msimamo wake wa kuwashinikiza waumini kuipigia kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa.
Limesema Katiba Inayopendekezwa imefika hapo ilipo kwa njia ya ubabe na kukosa uadilifu. Tamko la umoja huo lililotolewa jana na kusainiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk. Alex Malasusa, Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Tarcisius...
10 years ago
Mwananchi27 Dec
Maaskofu wazidi kuikaba koo Serikali
11 years ago
Habarileo20 Feb
Serikali yawapa ufafanuzi maaskofu wa Kipentekoste
SERIKALI haikuwa na nia ya kuwabagua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba. Imesema uchunguzi uliofanywa, umethibitisha Baraza hilo halikufikisha mapendekezo yake panakohusika.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tLFXYkEnNII/XnNsMLuTSeI/AAAAAAAAIuI/Mig0d_5vPFES_1ibKIGMbq0Kej_kQBe1QCEwYBhgL/s72-c/IMG_20200319_123004_219_1584612935576.jpg)
MAASKOFU ANGLIKANA WAITAKA JAMII KUUNGANA NA JUHUDI ZA SERIKALI KUKABILIANA NA COVD_19
![](https://1.bp.blogspot.com/-tLFXYkEnNII/XnNsMLuTSeI/AAAAAAAAIuI/Mig0d_5vPFES_1ibKIGMbq0Kej_kQBe1QCEwYBhgL/s640/IMG_20200319_123004_219_1584612935576.jpg)
Askofu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt.Mahimbo Mndolwa akiongea na waandishi wa habari jijini Arusha leo picha na Ahmed Mahmoud Arusha
Na Ahmed Mahmoud Arusha
Katika kukabiliana na ugonjwa wa corona nchini ,kanisa la Anglikana limetangaza kuongeza ibada zake katika makanisa yake yote ili kuondoa msongamano ambao ungeweza kusababisha maambukizi zaidi ya ugonjwa huo.
Akitoa tamko hilo jijini Arusha mbele ya maskofu 28 wa dayosisi za kanisa hilo, Askofu Mkuu wa kanisa hilo nchini...
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Waikosoa rasimu iliyopendekezwa
10 years ago
Vijimambo28 Sep
Wanaharakati Ngazi ya Jamii Waikosoa Katiba Inayopendekezwa
![Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0008.jpg)
![Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Nyuma ni wajumbe wa kamati hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_00131.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0008.jpg)
WANAHARAKATI NGAZI YA JAMII WAIKOSOA KATIBA INAYOPENDEKEZWA