Wanaharakati Ngazi ya Jamii Waikosoa Katiba Inayopendekezwa
Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto) Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWANAHARAKATI NGAZI YA JAMII WAIKOSOA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
10 years ago
Habarileo01 Oct
Wanaharakati wapongeza Katiba inayopendekezwa
WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko kumetokana na wao kuvua itikadi za dini na vyama vyao na kuvaa joho la jinsia na uzalendo.
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
Redio za jamii zashukuru kwa kupokea Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti
Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache kabla ya kuwagawia wasimamizi wa redio za jamii wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bi. Zulmira Rodrigues, akiwagawia wasimamizi wa redio za jamii katiba iliyopendekezwa iliwekwa...
10 years ago
GPLRADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUT
10 years ago
MichuziRADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI
Wakizungumza na Focus Media ambao ndio waandaaji na wasambazaji wamekiri kwamba wamepokea kwa wakati muafaka, kwani hawakuwa na chanzo sahihi cha kupata maudhui yanayohusu elimu ya uraia na uchaguzi mkuu na kura ya maoni.
Baadhi ya wasimamizi...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
10 years ago
GPLKATIBA INAYOPENDEKEZWA NI KIVULI CHA ‘KATIBA YA NYERERE’
10 years ago
GPLMH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
GPLBUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA