Wanaharakati wapongeza Katiba inayopendekezwa
WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko kumetokana na wao kuvua itikadi za dini na vyama vyao na kuvaa joho la jinsia na uzalendo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Feb
Wenye ulemavu wapongeza Katiba Inayopendekezwa
WATU wenye ulemavu nchini wamepongeza Katiba pendekezwa na kuelezea kuwa ni mwanga wa walemavu wote nchini kupata haki zao za msingi huku wakitaka ikiwa mchakato wa Katiba utahairishwa masuala yote ya walemavu yaliyomo yaingizwe kwenye mabadiliko yatakayofanywa kwa Katiba ya sasa.
10 years ago
Vijimambo28 Sep
Wanaharakati Ngazi ya Jamii Waikosoa Katiba Inayopendekezwa
![Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0008.jpg)
![Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Nyuma ni wajumbe wa kamati hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_00131.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0008.jpg)
WANAHARAKATI NGAZI YA JAMII WAIKOSOA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aTOoFaoaeg-f9WPKjDyPipOsHs*CE6zBWtKjHlkcTjxL3z5H-0LPuylZPIxc78JbM0b4PsZ35YZGM1ObKWabGLc/TunduLissu.jpg?width=650)
KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI KIVULI CHA ‘KATIBA YA NYERERE’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscZRThfVVNSbCOmFiN*wfTCycf-cQ83j9rHOumWBCsBO-ETXw4K23r5SrvJRhUHdmqehVqM0-0bMb4HwLPN-Cle8/unnamed72.jpg?width=650)
MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jPvKO*I18G*zoKKVOqPiJbk3hac3tp1KmmSacgAsLTGhHxV9ItnQuNE6RjKLJBMyojayGc75s-oMvzOngCDta9jEzGTfpW14/breakingnews.gif)
BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3brXBUnauTg/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo30 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Kuelimisha Katiba Inayopendekezwa
![Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0138.jpg)
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Usu Mallya akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0181.jpg)
![Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza katika Kongamano la Wanaharakati Kujadili masuala muhimu kwenye mchakato wa Katiba Mpya lililofanyika jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0236.jpg)