Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenye ulemavu wapongeza Katiba Inayopendekezwa

Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Amon Mpanju.WATU wenye ulemavu nchini wamepongeza Katiba pendekezwa na kuelezea kuwa ni mwanga wa walemavu wote nchini kupata haki zao za msingi huku wakitaka ikiwa mchakato wa Katiba utahairishwa masuala yote ya walemavu yaliyomo yaingizwe kwenye mabadiliko yatakayofanywa kwa Katiba ya sasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wenye ulemavu wataka lugha rahisi Katiba Inayopendekezwa

KUNDI la watu wenye ulemavu nchini limeiomba Serikali kuhakikisha linaandika Katiba Inayopendekezwa katika lugha rahisi watakayoielewa ili kuwasaidia kuelewa kilichomo kabla ya kufikia hatua ya kura ya maoni.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaharakati wapongeza Katiba inayopendekezwa

Profesa Ruth MeenaWANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko kumetokana na wao kuvua itikadi za dini na vyama vyao na kuvaa joho la jinsia na uzalendo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye ulemavu bado wanahitaji mabadiliko rasimu ya Katiba mpya

HIVI karibuni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aliwakabidhi rasimu ya pili ya Katiba mpya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

GPL

KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI KIVULI CHA ‘KATIBA YA NYERERE’

Tundu Lisu. UKITAKA kuwaudhi Watanzania wengi – wasomi na wajinga, wafupi na warefu, walevi na wasiotumia vileo  – unachotakiwa kufanya ni kutaja makosa aliyoyafanya Rais wa Kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere akiwa madarakani.  Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki, katika mijadala ya kuweka mambo sawa kitaifa, aliposema: “Nyerere hakuwa  Mungu” akimaanisha yaliyofanywa na kusemwa...

 

10 years ago

GPL

MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta (kushoto) Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na inatarajiwa kusomwa Bungeni siku ya kesho. Makabidhiano yakiendelea.… ...

 

10 years ago

GPL

BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta hivi punde ametangaza rasmi kupitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya matokeo…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani