RADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI
Wakurugenzi na viongozi mbalimbali wa Radio za jamii wamethibitisha kupokea na kuanza kurusha Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti, makala na michezo ya radio iliyoandaliwa na Kampuni ya Focus Media na COMNETA zenye maudhui ya katiba inayopendekezwa.
Wakizungumza na Focus Media ambao ndio waandaaji na wasambazaji wamekiri kwamba wamepokea kwa wakati muafaka, kwani hawakuwa na chanzo sahihi cha kupata maudhui yanayohusu elimu ya uraia na uchaguzi mkuu na kura ya maoni.
Baadhi ya wasimamizi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUT
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
Redio za jamii zashukuru kwa kupokea Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti
Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache kabla ya kuwagawia wasimamizi wa redio za jamii wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania Bi. Zulmira Rodrigues, akiwagawia wasimamizi wa redio za jamii katiba iliyopendekezwa iliwekwa...
10 years ago
MichuziUMOJA WA MATAIFA WAFADHILI USAMBAZAJI WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI
Aidha, mkakati huo wa kusambaza Katiba...
10 years ago
GPLMKOA WA DODOMA UMEPOKEA NAKALA 61,290 ZA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA AJILI YA KUZIGAWA KWA WANANCHI
10 years ago
GPLMH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo28 Sep
Wanaharakati Ngazi ya Jamii Waikosoa Katiba Inayopendekezwa
10 years ago
GPLWANAHARAKATI NGAZI YA JAMII WAIKOSOA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
11 years ago
MichuziMAOFISA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU WAANZA KUPOKEA MALALAMIKO YA WANANCHI KWA NJIA YA SIMU
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora hapa nchini imeanza kuboresha huduma zake kwa jamii baada ya kuanzisha huduma mpya ya kupokea malalamiko ya wananchi kwa njia ya ujumbe mfupi kupitia simu za kiganjani.
Hayo yalibainishwa jana na Maofisa wa Tume hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi ya zamani mjini Tabora ambao ulilenga kutambulisha na kuhamasisha matumizi ya huduma hiyo kwa wananchi na wadau mbalimbali wenye malalamiko yoyote au...