Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mkuu aongoza sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya jijini Dar leo

Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa katika meza kuu pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania katika Sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya, mapema leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.Jaji Mkuu wa TanzaniaMhe. Mohamed Chande Othman,  (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama ya Rufani (walioketi), Mhe. Shaaban Ali Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri mawakili wapya nchini,katika viwanja vya karimjee jijini Dar hivi sasa

 Sehemu ya Makakili wapya, wakiwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam kunakofanyika Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri, inayoongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Othman Chande (hayupo pichani). Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

11 years ago

Michuzi

JAJI MKUU AWATUNUKU VYETI MAWAKILI WAPYA JIJINI DAR LEO

 Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande (katikati) akiwaongoza majaji mbali mbali wakati wa Sherehe ya 50 ya kuanzia mwaka 1986 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande akiwatunuku vyeti baadhi ya Mawakili wapya waliokubaliwa na kusajiliwa leo kwenye viwanja vya Katimjee,Jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Jaji mkuu awaasa mawakili wapya na wa zamani

Jaji mkuu wa Tanzania Ndugu Mohamed Othman Chande leo amewataka mawakili wapya kufanya kazi zao za Uwakili kwa kuzingatia maadili ya taaluma ya uwakili.  Jaji Mkuu aliyasema hayo wakati wa Sherehe ya 50 ya kuanzia mwaka 1986 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam
 Jaji Mkuu pia amewahimiza Mawakili wapya hao kujiendeleza kitaaluma kwa sababu kuwa wakili sio mwisho wa taaluma, na pia amewataka Mawakili wa zamani kuwapokea...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN AWAAPISHA JUMLA YA MAWAKILI 412 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania akiwa katika meza  kuu pamoja na Wahe. Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu ya Tanzania katika Sherehe za kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,  katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.

Sehemu  ya Mawakili wapya walioapishwa  na Mhe. Jaji Mkuu ambaye  ameapisha jumla ya Mawakili 412 na kuongeza idadi ya jumla ya Mawakili 4874. Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA SIKU YA SHERIA NCHINI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za Siku ya Sherianchini katika viwanja wa Mahakama barabara ya Chimala jijini Dar essalaam leo February 4, 2015

PICHA NA IKULU

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza Sherehe za Mei Mosi jijini Mwanza leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) iliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza leo.
Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Mkuu Chande awaonya mawakili kuchelewesha kesi

Katika kuhakikisha kuwa Mahakama inafikia lengo lake la kupunguza msongamano wa kesi mahakamani, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amewatahadharisha mawakili kuhusu ucheleweshaji wa kesi pasipo sababu za msingi.

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKILI ZINGATIENI MAADILI YA TAALUMA YA SHERIA – JAJI MKUU

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda na gharama katika masuala yanayoweza kupatiwa ufumbuzi nje ya Mahakama.  Akizungumza na Mawakili wapya 104 waliohitimu Shule ya Sheria kwa mwaka 2015 wakati wa hafla ya 53 ya kuwapokea na kuwaapisha iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee leo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mawakili zingatieni maadili ya taaluma ya Sheria-Jaji Mkuu Mh. Othman Chande!!

Picha na 3

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akizungumza na Mawakili 104 walioapishwa  jana Desemba 15, jijini Dar es salaam. Mhe. Chande amewataka Mawakili hao kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma yao.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani