JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN AMJULIA HALI RAIS JAKAYA KIKWETE NCHINI MAREKANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-i1daOkmjRaY/VGnpDhuCrpI/AAAAAAADIXY/77gy3kIpjwY/s72-c/0L7C0523.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea Wakati alipotembelewa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa kimataifa wa Mabadiliko ya Sheria ya Ushahidi na pia kukutana na taasisi mbalimbali za fedha na marafiki wa maendeleo katika ili kupata...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Jaji Mkuu amjulia hali Rais Kikwete Marekani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani na Hospitali ya Johns Hopkins jijini Baltimore, Maryland, Marekani anakoishi baada kutoka katika hospitali hiyo alikofanyiwa upasuaji wa tezi dume. Kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete. Jaji Mkuu yuko Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine yeye na ujumbe wake watahudhuria mkutano maalumu wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YzmP8xqILFM/VHP9m7Ti92I/AAAAAAAGzO4/7j-4JWRV_zg/s72-c/unnamed%2B(91).jpg)
JAJI MKUU WA TANZANIA MHE MOHAMED CHANDE OTHMAN ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON DC
10 years ago
VijimamboMHE. JAJI MKUU WA TANZANIA MOHAMED CHANDE OTHMAN ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA LUSAKA ZAMBIA
MHE. JAJI MOHAMED CHANDE OTHMAN AKIWA NA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA MHE. GRACE J. MUJUMA
MHE JAJI MKUU AKIONGEA NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA WAKIWEMO MHE BALOZI GRACE J. MUJUMA, KAIMU MKUU WA UTAWALA NA KONSULA RICHARD LUPEMBE (HAYUPO PICHANI) NA MWAMBATA FEDHA HUDDY KIANGI WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI JAJI MKUU AKIELEZA JAMBO
JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN ALIKUWA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI ZAMBIA KUANZIA TAREHE 2 HADI 6 MEI 2015 KWA...
10 years ago
VijimamboMHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN, JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WASHINGTON DC 19/11/2014
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8WDTSZ1nmNE/VZhc9pbO_4I/AAAAAAAHm-I/kJU7FOzJo2A/s72-c/a1.jpg)
JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN AWAAPISHA JUMLA YA MAWAKILI 412 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-8WDTSZ1nmNE/VZhc9pbO_4I/AAAAAAAHm-I/kJU7FOzJo2A/s640/a1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HoC_5r5i6t4/VZhc_7eE0eI/AAAAAAAHm-Q/3O_PMXNWSMY/s640/a3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-j4SCO-GPt6c/VZhdOARElpI/AAAAAAAHm-Y/K1-_dM5biuM/s640/a2.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Km9B6739o3I/VX5Ta07FTrI/AAAAAAAHfcs/CwmY8czR1L4/s72-c/New%2BPicture.png)
MHE. JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE AKABIDHI RIPOTI YA JOPO LAKE KWA KATIBU MKUU
![](http://2.bp.blogspot.com/-Km9B6739o3I/VX5Ta07FTrI/AAAAAAAHfcs/CwmY8czR1L4/s640/New%2BPicture.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_m103K69cOY/VX5TK60GqZI/AAAAAAAHfcc/kXcYikuajg0/s640/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_m103K69cOY/VX5TK60GqZI/AAAAAAAHfcc/kXcYikuajg0/s72-c/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
MHE JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE AKABIDHI RIPOTI YA JOPO LAKE KWA KATIBU MKUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-_m103K69cOY/VX5TK60GqZI/AAAAAAAHfcc/kXcYikuajg0/s640/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malta zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rVQuuRWjF-g/VlWzihH-5ZI/AAAAAAAIIXc/P5ggGhe7O_0/s72-c/Mahakama%2B-1.jpg)
JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. OTHMAN CHANDE ATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI
![](http://2.bp.blogspot.com/-rVQuuRWjF-g/VlWzihH-5ZI/AAAAAAAIIXc/P5ggGhe7O_0/s640/Mahakama%2B-1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AqBjSIgkF_k/VlWzkIQWpOI/AAAAAAAIIXs/TyMjb7jq53o/s640/Mahakama%2B-3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YQBRmEwwFkk/VlWzif76JkI/AAAAAAAIIXU/PoYDjvl1QTE/s640/Mahakama%2B-%2B5.jpg)
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande atoa somo kwa Waandishi wa Habari za Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama jana jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za Mahakama...