Jaji Ramadhani aeleza mipaka Bunge la Katiba
>Jaji Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani, amesema Bunge Maalumu la Katiba linabanwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Kifungu cha 25 kufanya mabadiliko makubwa ya Rasimu ya Pili ya Katiba iliyofwasilishwa bungeni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Jaji Ramadhani awapa somo wajumbe wa katiba
ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Augustino Ramadhani, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kujadili vipengele vya rasimu kwa kuviboresha badala ya kulumbana. Jaji...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Jaji Warioba aeleza mwafaka wa Katiba bora
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Mamlaka ya Bunge la Katiba yana mipaka
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Bunge Maalumu la Katiba liheshimu mipaka yake
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Wabunge zingatieni mamlaka, mipaka Bunge Maalumu la Katiba
MCHAKATO wa kupata Katiba ya Tanzania ulianza kwa kutungwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. Baadaye kupitia sheria hiyo, tume ya kukusanya maoni ya wananchi ikaundwa kwa ajili ya kukusanya maoni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-e0d8fddpW1Y/Xq1RDZcZbYI/AAAAAAALo1Q/RXet2-3e9YYExqZbVWuaf2_P6BeA0N7FQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-02%2Bat%2B13.52.15.jpeg)
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba
10 years ago
Mtanzania23 Aug
Jaji Mihayo: Tunashukuru hatumo Bunge la Katiba
![Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), Jaji Thomas Mihayo](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Jaji-Mihayo.jpg)
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), Jaji Thomas Mihayo
Aziza Masoud na Mauli Muyenywa, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), Jaji Thomas Mihayo, amesema kutokana na mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba ulivyo, chama hicho kilifanya uamuzi wa busara kukataa kupeleka mwakilishi katika Bunge hilo.
Kauli hiyo imetolewa wakati hatima ya kupatikana kwa Katiba mpya ikiwa imegubikwa na hali ya sintofahamu, kutokana na hatua ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya...