Mamlaka ya Bunge la Katiba yana mipaka
Kumeibuka hoja inayolenga uwezo wa Bunge la Mabadiliko ya Katiba kwa kuihusisha na Rasimu ya Katiba Mpya iliyowasilishwa kwenye bunge hilo na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Wabunge zingatieni mamlaka, mipaka Bunge Maalumu la Katiba
MCHAKATO wa kupata Katiba ya Tanzania ulianza kwa kutungwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. Baadaye kupitia sheria hiyo, tume ya kukusanya maoni ya wananchi ikaundwa kwa ajili ya kukusanya maoni...
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Jaji Ramadhani aeleza mipaka Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Bunge Maalumu la Katiba liheshimu mipaka yake
11 years ago
Habarileo20 Feb
Werema: Bunge la Katiba lina mamlaka kurekebisha Rasimu
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wana mamlaka ya kurekebisha Rasimu ya Katiba lakini hawawezi kuondoa misingi mikuu ya kitaifa na maadili ya kijamii. Aidha, amesema madai ya kuwapo kwa rasimu vya vyama na makundi mbalimbali ni upotoshaji, ila si vyema kuzipiga mateke, bali wajumbe wazisome.
11 years ago
Mwananchi18 May
‘Kuna dalili Bunge la Katiba litapora mamlaka ya wananchi’
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Madai ya wanawake yana afya kwa katiba
MTANDAO wa Wanawake na Katiba unaojumuisha mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake na binadamu, umeainisha madai 12 ya haki wanazotaka zitambulike katika katiba mpya. Masuala hayo ni haki...
10 years ago
Michuzi04 Sep
Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Mahakama yajivua mipaka ya Bunge
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA