Jaji Mihayo: Tunashukuru hatumo Bunge la Katiba
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), Jaji Thomas Mihayo
Aziza Masoud na Mauli Muyenywa, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), Jaji Thomas Mihayo, amesema kutokana na mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba ulivyo, chama hicho kilifanya uamuzi wa busara kukataa kupeleka mwakilishi katika Bunge hilo.
Kauli hiyo imetolewa wakati hatima ya kupatikana kwa Katiba mpya ikiwa imegubikwa na hali ya sintofahamu, kutokana na hatua ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Jun
Jaji Mihayo Rais mpya MCT
MKUTANO wa kumi na saba wa wanachama wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) umemchagua Jaji mstaafu Thomas Mihayo kuwa Rais Mpya wa Baraza hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.
11 years ago
GPL
MKOSAJI MKUU WA HAKI ZA BINADAMU NI SERIKALI - JAJI MSTAAFU MIHAYO
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Jaji Ramadhani aeleza mipaka Bunge la Katiba
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba
Jaji mstaafu Mark Bomani.
Na Mwandishi wetu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.
Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.
Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...
11 years ago
Michuzi.jpg)
MTUMISHI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AAGWA BAADA YA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU NA RAIS
.jpg)
.jpg)