Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI WARIOBA KUILIZA AU KUIPA KICHEKO CCM LEO

Jaji Joseph Warioba. Ni rasimu ya pili mfumo wa Muungano.
Nape: Tusubiri tuone kitakachotokea. Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo itakabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rasimu ya pili na ya mwisho ya katiba mpya, huku Watanzania wengi wakisubiri kwa hamu kubwa kuona inapendekeza muundo gani wa Muungano baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukataa serikali tatu....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sekretarieti ya CCM kuipa ajenda CC leo

Mohammed Seif Khatib.KIKAO cha Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kukutana leo mjini hapa kikifuatiwa na kikao cha Kamati Kuu (CC) chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe CCM waponda hotuba ya Jaji Warioba

Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Katiba ambao ni wanachama wa CCM, wamepinga Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa maelezo kuwa haiwakilishi maoni ya Watanzania walio wengi.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba awananga wagombea urais CCM

. Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewashangaa makada wanaojinadi kuwa ni wasafi na waadilifu, akisema sifa hizo zinatakiwa zitolewe na jamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Ulinzi mkali mdahalo wa Jaji Warioba leo

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema ulinzi utaimarishwa kabla, wakati na baada ya mdahalo maalumu wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam mzungumzaji mkuu akiwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shambuzi la Jaji Warioba ni mbinu ya CCM kuzima mjadala wa Katiba

UKIANZA na uwongo lazima kuendelea kuusema hadi mwisho. Wataalamu husema kwamba “kuulinda uwongo ni gharama kubwa sana.” Mchakato wa katiba haramu ya CCM ulianza na fitina, vitisho na uwongo na...

 

10 years ago

Mtanzania

Azam kuiliza Mtibwa leo?

azam shangweNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

MABINGWA watetezi wa michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), Azam FC leo watashuka dimbani kuchuana vikali na Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi hiyo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Manungu, Morogoro.
Wenyeji wa pambano hilo Mtibwa, watawaalika mabingwa hao huku wakiwa na machungu ya kipigo cha bao 1-0 walichokipata Jumapili iliyopita dhidi ya Stand United katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kambarage, mjini Shinyanga.
Azam ambao walilamizishwa sare ya bao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nawashangaa mawaziri wakuu wenzangu waliostaafu, wakidai CCM miaka 50 hakuna kilichofanya-Jaji Warioba

Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-MARA).

WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na kudai hakuna kilichofanyika katika miaka 54 ya Uhuru.

Pamoja na hali hiyo amesema anajua wazi huenda hata wanachokifanya...

 

10 years ago

Michuzi

NAWASHANGAA MAWAZIRI WAKUU WENZANGU WALIOSTAAFU,WAKIDAI CCM MIAKA 50 HAKUNA KILICHOFANYA-JAJI WARIOBA

 Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na kudai hakuna kilichofanyika katika miaka 54 ya Uhuru.
Pamoja na hali hiyo amesema anajua wazi huenda hata wanachokifanya hawajui wajibu wao walipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani