Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAMES MWANG'AMBA AWAPA SOMO LA UJASIRIAMALI WAKAZI WA MWANZA

Mmoja wa wakazi wa Mwanza akimuuliza maswali Mwalimu wa Ujasiriamali, James Mwang'amba (hayupo pichani). Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba akijibu maswali ya wakazi wa jiji la Mwanza. (PICHA NA DENIS MTIMA / CHANDE ABDALLAH / GPL,…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JIUNGE NA WHATSAPP BUSINESS SCHOOL YA JAMES MWANG'AMBA ITAKAYOANZA TAREHE 20/04/2015

Mwalimu wa Ujasiriamali James Mwang'amba.
Jiunge na WhatsApp Business School ya James Mwang'amba itakayoanza tarehe 20/04/2015 ufundishwe yafuatayo na zaidi kwa mwezi mzima. Wiki ya kwanza utapewa shule bure ili ujue shule inaendaje! 1. Jinsi ya kuanzisha biashara bila mtaji au kwa pesa kidogo
2. Jinsi ya kumiliki kiwanda chako kwa mtaji mdogo
3. Jinsi ya kupata mitaji na kushawishi benki ikukopeshe hata kama...

 

10 years ago

GPL

RICHARD KIEL 'MENO YA CHUMA' WA JAMES BOND AFARIKI DUNIA

Mwigizaji  Richard Kiel 'meno ya chuma' enzi za uhai wake. MWIGIZAJI wa Marekani, Richard Kiel aliyecheza filamu za James Bond akiwa na meno ya chuma amefariki dunia akiwa na miaka 74 jijini California. Richard Kiel (kulia) akimkaba Roger Moore katika filamu ya 'The Spy Who Loved Me'. Kiel amefariki akiwa Kituo cha Afya cha Saint Agnes Fresno jijini California nchini Marekani alipokuwa akitibiwa.… ...

 

10 years ago

GPL

TANGAZO LA KUPOTEA KWA NDUGU NSAJIGWA KENNEDY MWANG'ONDA‏

Familia ya Marehemu Robert Mwang'onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanapenda kutangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang'onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM - Karibu na Chuo Cha Usafirishaji toka tarehe 26-2-2015. Nsajigwa ana matatizo ya kupoteza kumbukumbu. Atakayemuona awafahamishe kwa simu namba 0715 919 168 Frank Mwang'onda, 0682 822 111/… ...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE‏

 Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya kukanusha uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) na kulia kwake ni Wastara Juma na Salama "Sandra" Salimin.
  Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa tarifa ya kukanusha taarifa za uzinduzi… ...

 

11 years ago

GPL

ERIC SHIGONGO AONGEA NA WAFANYAKAZI WA GLOBAL, AWAPA MBINU ZA UJASIRIAMALI

Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi wa Global, Marsha Bukumbi (wa kwanza kulia) ili amkaribishe Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) kuongea na wafanyakazi. Mkurugenzi wa Global Publishers, Marsha Bukumbi akiwashukuru wafanyakazi kwa utendaji wao kazi kabla ya kumkaribisha Eric Shigongo kuongea.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwigulu awapa somo wafanyabiashara

01

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam.

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiasha nchini, kutengeneza miradi ambayo inatambulika ili iwe rahisi kukopeshwa fedha.

 Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kufungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo  Mashariki na...

 

10 years ago

Habarileo

Spika awapa somo wabunge

Spika wa EALA, Daniel KidegaSPIKA wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Daniel Kidega amewataka wabunge na watunga Sheria kuwajibika, kushiriki kikamilifu katika maendeleo baada ya kuifikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia 2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Lyamuya awapa somo wanahabari

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kujua maadili ya utumishi wa umma na sera za afya, ili watoe taarifa zisizo na ukinzani baina ya jamii na sekta hiyo. Wito huo ulitolewa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge awapa somo wazazi

MBUNGE wa Morogoro Mjini, Aziz Abood ametoa mwito kwa wananchi kuhakikisha kuwa wanatenga fedha za mahitaji ya watoto wao na kuacha tabia ya kutumia fedha bila uangalifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani