Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Janga baharini Korea Kusini

Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana , wawili wamefariki na wengine 164 wameokolewa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani

Korea Kusini imesema risasi zimefyatuliwa kwenye mpaka wao, siku moja baada ya Kiongozi wa Korea Kaskazini kuoneakana hadharana.

 

5 years ago

CCM Blog

KOREA KASKAZINI YAFYATUA MAKOMBORA MAWILI BAHARINI

   Korea Kaskazini imefyatua leo kile kilichoonekana kuwa ni makombora mawili ya masafa mafupi katika pwani yake ya mashariki, ikiwa ni jaribio la nne la aina hiyo katika mwezi huu wakati ulimwengu ukipambana na janga la virusi vya corona. 

Taarifa ya pamoja ya Wakuu wa Jeshi la Korea Kusini imesema makombora mawili yalifyatuliwa kuelekea mashariki kutokea mji wa bandari wa Wonsan na kuanguka katika Bahari ya Japan, inayofahamika pia kama Bahari ya Mashariki. 
Wizara ya Ulinzi ya Japan imesema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini

Korea kusini inasema kuwa korea kaskazini imepeleka silaha kwenda kwa mpaka baada ya kutoa vitisho vya kuishambulia

 

11 years ago

BBCSwahili

Algeria imelaza Korea Kusini 4-2

Algeria imeilaza Korea Kusini 4-2 katika mechi ya kufa au kupona na kuwa timu ya kwanza Afrika kufunga mabao 4

 

10 years ago

Vijimambo

Magereza ya Korea Kusini yanatisha

Kamati ya haki za binadamu ya Umoja wa mataifa imeidhinisha azimio linaloliomba baraza la usalama la Umoja huo kuwakilisha malalamiko kuhusu haki za binadamu nchini Korea Kaskazini kwa mahakama ya kimataiafa ya uhalifu.

Kamati hiyo imepitisha hoja ya kufanywa uchunguzi dhidi ya tuhuma za uhalifu dhidi ya binaadamu nchini Korea Kaskazini.

Ripoti ya tume ya uchunguzi ya umoja huo ilitangaza mapema mwaka huu kwamba kuna ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu Korea kaskazini kushinda muda, uzito na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Korea ya Kusini yawashikilia wamrekani

Raia watatu wenye asili ya Marekani,ambao wanashikiliwa Korea ya Kusini,wameomba usaidizi wa kuachiliwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Makahaba wazee wa Korea Kusini

Umasikini na changamoto za maisha zawalazimu wazee wa umri wa miaka 71 kufanya ukahaba Korea Kusini

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama awasili Korea Kusini kushauriana

Rais Obama amewasili Korea Kusini huku hofu ikizagaa kwamba Korea Kaskazini yajiandaa jaribio la nne la zana zake za nukyla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani