KOREA KASKAZINI YAFYATUA MAKOMBORA MAWILI BAHARINI
![](https://1.bp.blogspot.com/-dw2vqJ_5Pms/XoBWGwQHysI/AAAAAAAC1_s/beCGf8a8NRMLwiU95yYdskHQRIe3qp7nQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Korea Kaskazini imefyatua leo kile kilichoonekana kuwa ni makombora mawili ya masafa mafupi katika pwani yake ya mashariki, ikiwa ni jaribio la nne la aina hiyo katika mwezi huu wakati ulimwengu ukipambana na janga la virusi vya corona.
Taarifa ya pamoja ya Wakuu wa Jeshi la Korea Kusini imesema makombora mawili yalifyatuliwa kuelekea mashariki kutokea mji wa bandari wa Wonsan na kuanguka katika Bahari ya Japan, inayofahamika pia kama Bahari ya Mashariki.
Wizara ya Ulinzi ya Japan imesema...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Korea Kaskazini yafyatua makombora
5 years ago
Bongo514 Feb
Korea Kaskazini yasema itafanya majaribio ya makombora yake kila wiki
Korea Kaskazini itaendelea kufanya majaribio ya makombora yake, Afisa wa juu nchini humo ameiambia BBC mjini Pyongyang, ingawa jamii ya kimataifa imekuwa ikikemea majaribio hayo.
Korea na Marekani wamekuwa wakitishiana kwa maneno huku kila mmoja akionyesha silaha aliyokuwa nayo na uwezo wake.
“Tutatekeleza majaribio zaidi katika kipindi cha kila juma,kila mwezi na kila mwaka,” alieleza makamu waziri wa masuala ya kigeni Han Song-ryol alipokuwa akizungumza na mwanahabari wa BBC, John...
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Iran yafyatua makombora karibu na manuari za Marekani
Manuari za Marekani
Marekani
Iran ilizua taharuki miongoni mwa wanajeshi wa Marekani ilipofytua makombora yake karibu na meli za kubeba mizigo na manuari za kivita ya Marekani katika bahari ya Hormuz leo.
Majaribio hayo ya makombora yake yanatarajiwa kuibua vuta ni kuvute baina ya mataifa hayo mawili miezi michache tu baada ya kutia saini makubaliano ya kinyuklia.
Iran ilifyatua makombora kadhaa takriban kilomita moja tu kutoka kwa manuari 2 za kijeshi za Marekani na Ufaransa msemaji wa...
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?
5 years ago
BBCSwahili03 May
Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani
9 years ago
BBCSwahili22 Aug
Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini
11 years ago
BBCSwahili16 Apr
Janga baharini Korea Kusini
9 years ago
BBCSwahili07 Jan
Korea Kaskazini na bomu la Hydrogen
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
UN kuzindua dhulma za Korea Kaskazini