Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Korea Kaskazini yasema itafanya majaribio ya makombora yake kila wiki

Korea Kaskazini itaendelea kufanya majaribio ya makombora yake, Afisa wa juu nchini humo ameiambia BBC mjini Pyongyang, ingawa jamii ya kimataifa imekuwa ikikemea majaribio hayo.

Korea na Marekani wamekuwa wakitishiana kwa maneno huku kila mmoja akionyesha silaha aliyokuwa nayo na uwezo wake.

“Tutatekeleza majaribio zaidi katika kipindi cha kila juma,kila mwezi na kila mwaka,” alieleza makamu waziri wa masuala ya kigeni Han Song-ryol alipokuwa akizungumza na mwanahabari wa BBC, John...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yafyatua makombora

Korea kaskazini yafyatua makombora ya masafa mafupi kupinga mazoezi ya kijeshi katika peninsula ya Korea

 

5 years ago

CCM Blog

KOREA KASKAZINI YAFYATUA MAKOMBORA MAWILI BAHARINI

   Korea Kaskazini imefyatua leo kile kilichoonekana kuwa ni makombora mawili ya masafa mafupi katika pwani yake ya mashariki, ikiwa ni jaribio la nne la aina hiyo katika mwezi huu wakati ulimwengu ukipambana na janga la virusi vya corona. 

Taarifa ya pamoja ya Wakuu wa Jeshi la Korea Kusini imesema makombora mawili yalifyatuliwa kuelekea mashariki kutokea mji wa bandari wa Wonsan na kuanguka katika Bahari ya Japan, inayofahamika pia kama Bahari ya Mashariki. 
Wizara ya Ulinzi ya Japan imesema...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kim Jong-un: Kutoweka kwake, siasa ya kimataifa, malengo yake na jeshi la Korea Kaskazini

Katika siku za hivi karubuni kiongozi huyo wa Korea kaskzini alitoweka katika maeneo ya umma kwa siku 20 na kukosa sherehe za kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya babu yake - ikiwa ni sherehe kubwa mwaka huu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani

Korea Kusini imesema risasi zimefyatuliwa kwenye mpaka wao, siku moja baada ya Kiongozi wa Korea Kaskazini kuoneakana hadharana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini

Korea kusini inasema kuwa korea kaskazini imepeleka silaha kwenda kwa mpaka baada ya kutoa vitisho vya kuishambulia

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa UN kuzuru Korea Kaskazini

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon atazuru Korea Kaskazini wiki hii, kwa mujibu wa shirika la habari la Korea Kusini Yonhap.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN kuzindua dhulma za Korea Kaskazini

Umoja wa mataifa, unatarajiwa kuzindua ripoti maalum kuhusiana na dhulma za haki za binadamu zinazotekelezwa Korea Kaskazini.

 

11 years ago

BBCSwahili

silaha za Korea kaskazini zazuwiwa

Umoja wa Mataifa umeiwekea vikwazo Kampuni ya Meli ya Korea Kaskazini ambayo ilikuwa ikiendesha Meli iliyokamatwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani