January amwaga sera zake kama atakuwa Rais
NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, amebainisha sera zake pindi Watanzania watakapompatia nafasi ya kuiongoza Tanzania na kusisitiza kupambana na rushwa, urasimu, udini na ajira.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-iMBi-CzAWmY/U9tCv5i8oeI/AAAAAAAF8Jc/Cwf9QUaf1XI/s72-c/d8cec92270ea8762f4c3d27474c80030.jpg)
UCHAGUZI DMV: Mgombea wa Nafasi ya makamo wa Rais,Salima Moshi anadi sera zake
![](http://4.bp.blogspot.com/-iMBi-CzAWmY/U9tCv5i8oeI/AAAAAAAF8Jc/Cwf9QUaf1XI/s1600/d8cec92270ea8762f4c3d27474c80030.jpg)
SITOJITOA kamwe katika dhamana mtakayonikabidhi kama ilivyotokea kwa mgombea mwenzangu tarehe 18 July alijitoa Ubalozini mbele ya viongozi na kusema anajitoa hawezi kugombea tena na kuniendorse mimi.
Hivyo mtu akijitoa Hataki lawama ina maana kazi haiwezi Msije mkamlaumu,tumeshuhudia wagombea aina hii,hatutaki kufanya...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Capt-mstaaf-John-Chiligati-aliyekuwa-Mbuge-wa-manyoni-akipunga-mikono-baada-ya-kumpigia-debe-mgombea-mpya-wa-eneo-hilo-Daniel-Mtuka-katikati-ni-mg.jpg)
MAGUFULI AMWAGA SERA YA MATUMAINI MAPYA SINGIDA
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka …
Headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kukaribia kujiunga na klabu ya Manchester United bado zinazidi kushika kasi sehemu mbalimblia, kwa wapenzi na mashabiki wa soka duniani kote kwa sasa vijiwe vyao mara nyingi mada kuu ni Louis van Gaal na Jose Mourinho. December 25 Mtu wangu wa nguvu nimekutana na list kutoka sokka.com ya wachezaji watano wa […]
The post Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Kama Samatta atajiunga na KRC Genk, atakuwa kajiunga na klabu ambayo imechezewa na mastaa hawa maarufu
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri wa kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta amekiri kuwa katika harakati za mwisho za kwenda kucheza soka barani katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Samatta ambaye December 30 alikiri kuwa bado hajasaini na Genk kama inavyoripotiwa ila mambo yanaenda vizuri, […]
The post Kama Samatta atajiunga na KRC Genk, atakuwa kajiunga na klabu ambayo imechezewa na mastaa hawa maarufu appeared first on...
9 years ago
BBCSwahili05 Sep
Uchina yafaa kueleza sera zake za uchumi
9 years ago
Vijimambo03 Oct
ASKOFU KILAINI; SIFA KUU NNE ZA MGOMBEA AMBAYE ATAKUWA RAIS WA NCHI:
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kilaini(2).jpg)
Askofu wa kanisa Katoliki,siku ya trh 26-09-2015 alinukuliwa akitaja sifa za mgombea anaepaswa kuchaguliwa kuwa Rais wa awamu ya tano Tanzania.1. Mwadilifuamesema nchi yetu ilipofika inahitaji mtu/rais ambaye anao uadilifu wa kweli na wa hali ya juu ili kuleta uongozi uliojaa uadilifu na nidhamu katika kuhakikisha kuwa watanzania wananufaika na kufurahia nchi yao na mambo yake yote.2. Uchapa kazi kwa vitendo na Nidhamu,nchi hii inayo rasilimali za kutosha ambapo zikitumika vyema watanzania...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Magazeti ya Tanzania January 1, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo January 1, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia ® AyoTV:Dakika 10 za Prof. Lipumba kuhusu Znz na mengine ya nchi Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]
The post Magazeti ya Tanzania January 1, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared first on...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Magazeti ya Tanzania January 4, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo January 4, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ […]
The post Magazeti ya Tanzania January 4, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared first on...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Magazeti ya Tanzania January 3, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo January 3, 2016 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. AyoTV:Harmonize na mashabiki wake kwenye stage Dodoma Jan 1 2016 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard […]
The post Magazeti ya Tanzania January 3, 2016 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho appeared...